KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,820
Apo sio nyuma ya upangalol....hawa watu hutubeba wana....
nyuma ya upanga.. .....
![]()
Apo ni jangwan
Apo sio nyuma ya upangalol....hawa watu hutubeba wana....
nyuma ya upanga.. .....
![]()
Hizi data ni za uongo
mbona nyinyi mnaongozwa na mvuta bangi uhuru kenya.The problem of being ruled with someone that has alcohol as his name

asante kwa kuwaelemisha.ila kwa kuwa wengi ni wajinga sidhani kama wameelewa..
Ki katiba, ardhi ni mali ya watanzania lakini Rais anahodhi hiyo ardhi kwa niaba ya watanzania. Rais anaweza akaichukua ardhi ya mtu kama akiona kufanya hivyo kutakuwa na manufaa mapana kwa watanzania wengi.
Hii ni sera nzuri sana ambayo inahitaji akili ya hali ya juu kuielewa.
Mfano, kama kuna mradi wa maendeleo huko mbeleni na kipande fulani cha ardhi kitahitajika basi serikali inaweza chukuwa ile ardhi na kumlipa fidia yule mtu. Ndiyo maana miradi ya maendeleo Tanzania inafanyika kwa haraka sana na kwa gharama ndogo kuliko kenya.
Wakenya inabidi muelewe, huwezi ukarithi sheria muhimu kama za ardhi kwa wakoloni wakati nchi yenu ni huru.
Waingereza waliweka sera za ardhi katika makoloni yao ili wa wanyonye wazawa, wasipate nafasi ya kuendelea kiuchumi. Bahati nzuri, sisi waTz Rais wetu wa kwanza aliliona hili, kwa kuwa alikuwa na akili nyingi, alitambua kuwa huru wa kweli ni kuondoka sheria za kikoloni.
Nyinyi kwa ujuaji wenu mkaziacha hizo sheria kwa ulafi wa viongozi wenu. Eti mtu anaweza kuwa na nchi kubwa tuu, ndani ya nchi, bila ya serikali kuwa na uwezo wa kukohoa. Matokeo yake wananchi wenu wanashindwa kulisha mifugo yao kwa kukosa malisho, raia wanauawa kwa kosa la kupita kwenye ardhi ya mtu binafsi. Ujinga mtupi!
Nchi zote zenye akili zimeweka sheria kwa serikali kuwa na maamuzi ya mwisho kwenye masuala ya ardhi. Hata Marekani kama hujalipia kodi serikali inaichukua hiyo ardhi.
Yani unajisifia uhuru wa kupiga domo ukiwa na njaa wakati unanyimwa uhuru wa kumiliki ardhi? Huo ni upunguani wa kiwango cha lami.

Alivuta bangi ya mamako?mbona nyinyi mnaongozwa na mvuta bangi uhuru kenya.![]()
Kwan wewe kimekuwasha nini😀😀😀This is inferiority complex who asked for that?
Jpm alikunywa pombe ya nyanyako?.Alivuta bangi ya mamako?

Wewe Upanga unaisikia au unaijua? Barabara zisizo na lami Upanga zinahesabika, tena hizo ni kwamba lami imebomoka. Naweza kukutajia mitaa ya Upanga mmoja mmoja na kukwambia upi una lami upi hauna!Hii ni mfano tu...almost upanga yote hakuna lami.
Sioni haja ya kujenga maghorofa ilhali nje kumeparara.
Wewe ni muongo. HApo ni upande wa jengo la Yanga Jangwani. Nyuma ya Upanga ni bonde la moscow upande wa pili!lol....hawa watu hutubeba wana....
nyuma ya upanga.. .....
![]()
without makeup....lol.
![]()
Picha ya mwaka gani hio? Una uhakika hapo hamna lami?! Unapajua ni wapi hapo?!
yaani afadhali kariakoo hizo streets zimeparara na kuchakaa...hii ndio CBD? lol!![]()
BTW, that twin Towers is the most opulent building in Tz but look at the streets...![]()
![]()
huyo achana nae haijui bongo vzr😀😀😀😀😀😀😀Picha ya mwaka gani hio? Una uhakika hapo hamna lami?! Unapajua ni wapi hapo?!
Hawa washamba wanashinda mitandaoni kuandika utumbo wakati ndugu zao wameng'ang'ania huku hawataki kurudi kwao huko halafu wanajidai kuna maisha mazuri! Yaani ukiwasoma hawa jamaa humu unaweza ukafikiri Nairobi ni kama New York fulani vile kumbe ni typical third world city!huyo achana nae haijui bongo vzr😀😀😀😀😀😀😀
Wewe unadanganya. Hizo twin towers mbele yake kuna Sokoine Drive ina lami na kutoka ngazi za hilo jengo hadi kwenye lami ni kama mita tano tu zote zimekuwa paved! Upande wa kulia kuna mtaa mwingine una lami nayo ni few meters from that building and its paved! Kushoto kuna HQ za TRA acha uongo.I see you are trying a comeback after mulikaring the dusty ugly sorrounding next to your best buildings.....hahaha