much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 14,065
- 21,548
TPDF HQ Dodoma
Dodoma kunahitaji special operations ya opandaji miti na kuondoa ukame
TPDF HQ Dodoma
Wakati mwingine kutofanya ukarabati mkubwa in long run inakugharimu zaidi,Kiwanja kimechoka acha kifanyiwe ukarabati mkubwa haya mambo ya ziba hapa ziba pale yafike mwisho tufanye once and for a while kuanzia kwenye kuexpand kwa maana number of seats na kumodernize facilities zote if necessary.Kikubwa ni value for money ipewe kipaumbele.Ila naunga mkono hoja walifaa wajenge uwanja mpya
Kenya will be the first highest exclusive beneficiary kwenye hii program
Hawawewi hii. Jumla uwanja utakuwa umetumia zaidi ya 180 billions. Unaenda kuwa wa kisasa mno na wakuvutia kila kona. Usisahau kuwa wa dodoma utakuwa wanguvu sana, sijajua wa Arusha. Na pia viwanja vingine saba kufanyiwa ukarabati mkubwa pia.Viwanja vya shakahola haviwezi kufikia levels hizi za CAF kamwe![]()
Kuna vitu ameeleza hapo hata wazawa hatuvijui...jamaa anaifuatilia tz kiundani sanaTanzania is and shall remain to be a beanchmark for Kenya forever
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wakenya wenye akili wanaifatilia na kuvutiwa Sana na Tanzania, kwao Nyerere ndio baba wa Afrika, ni nashangaa baadhi ya watanzania kutuambia tuwaige wakenya.Kuna vitu ameeleza hapo hata wazawa hatuvijui...jamaa anaifuatilia tz kiundani sana
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Huu mkataba unakuwaje? Watu walipiga chao?
Kila siku nakukumbushakuwa wewe huna akili zileee.China ndio second boss wa uchumi Duniani na Wachina wako all over the World sio sawa hao wapuuzi njaa wa Russia.
Wewe akili unazo?Kila siku nakukumbushakuwa wewe huna akili zileee.
Miaka ya 1960s China ilikuwa masikini sana,mno na nchi zote za Kiafrica hazikutaka mahusiani nayo wala kununua bidhaa zake na moja ya nchi hizo ni nchi yenu Kenya.
Wenye akili na kuona kubwa na kufikiria miaka 70 or 100 mbele, walikuwa wakwanza kuwa na mahusiano yakipekee na China na umasikini wake.
Watu hao wenye akili ni Watanzania. Ndio Nchi ya kwanza Africa kujenga mahusiano na China despite foreign pressure tangu wakiwa masikini, leo hii Ni Taifa kubwa na tunabenefit vilivyo kuliko Taifa lolote Africa. Na hili swala ni case study kwenye vyuo huko kwa waume zenu USA na kwingineko.
Washington University
A History of China-Tanzania Relations: How China Became Donor,Friend, and Friend, and Foe
Wengi wao hawajielewi....ni nashangaa baadhi ya watanzania kutuambia tuwaige wakenya...