REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,602
- 11,528
The fact that, wewe sio rafiki yangu humu ni kielelezo tosha kuwa mbali ya kuwa na akili timamu, ninazo nyingi za ziada pia.Wewe akili unazo?
The fact that, wewe sio rafiki yangu humu ni kielelezo tosha kuwa mbali ya kuwa na akili timamu, ninazo nyingi za ziada pia.Wewe akili unazo?
Onyesha hizo akili zako nyingi,Mimi Sina rafiki mbululaThe fact that, wewe sio rafiki yangu humu ni kielelezo tosha kuwa mbali ya kuwa na akili timamu, ninazo nyingi za ziada pia.
Kwanza nashangaa Uganda na Nukes wapi na wapi?Vipi mbona unapost tena asiekua na faida au uzalendo umekushinda 🤣🤣🤣🤣
Basi utashangaa sana kama ww unalala wenzako wanaamka 😅😅😅😅Kwanza nashangaa Uganda na Nukes wapi na wapi?
[emoji38][emoji38][emoji38]Huu mkataba unakuwaje? Watu walipiga chao?
Muulize tena kuwa ana uhakika kuwa hawaja peleka mwakilishiSasa kama hakuna minister mumepeleka basi africa nzima wamekwenda 49 out 54 kwetu sisi kaenda waziri mkuu wa nchi just imagine [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] uganda kaenda mseven, burundi kaenda na congo kaenda rais wa nchi yani east africa nzima imekwenda kasoro nyinyi [emoji16][emoji16][emoji16]
Alaf tukiwaambia munalaana nyinyi munakasirika africa ilivokua inapigania uhuru nyinyi mulisaidia nchi gani?? Mulijitenga pekeanu mukaacha waafrica wenzenu wanahangaika alaf leo munaongea nn hapa
Hawezi kujibu ,sababu ya akili ndogo aliyonayo ata skip au kujibu pumbaUnasoma kichina kikakusaidie nn kuna watu wanajifunza kifaransa kikasaidie wapi??[emoji1787]
Kwan wanaojifunza kiswahili nchi zingine zitawasaidia wapi??
Alaf ukiambiwa ww dalali unakataa kweli?[emoji1787][emoji1787]