ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
49 out of 54 wamekwenda bado ww unataka kuwaona wote hawana akili na mwenye akili ni ww usiekua na uhakika wa kula milo mitatu??🤣🤣🤣🤣Hao wawakilishi hakuna trade deals/policies yeyote wanaweza funga na Putin, wako hapo kuongeza idadi. Russia account only 1% of foreign investment in Africa, huo mkutano ni more political na waafrika tushaamka.
Ukimsikia mchina basi nyuma yake kuna russia in any how 😁😁 hii nakupa ni akili kubwa ww huwez kuijua
Russia huiwezi my friend ni super power ww kwa sasa hangaikia ugali 😁😁

