ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,426
- 85,254
Bila taifa gas bei isingeshuka unajua kwann ??🤣Wewe kweli ni taahira 🤣🤣🤣
Na hawa sio matahira 🤣🤣🤣🤣Wewe kweli ni taahira 🤣🤣🤣
Gor Mahia iko wapi?Nyayo stadium inakila kitu hapo. Levels za CAF ni azam complex🤣🤣
Jamaa maisha yao yana kila sababu ya kuwa magumu, sisi huku kwetu mtungi wa 6kg ni 24000 tshs na hapo ilipanda. Wana kila sababu ya kuongoza region kwa matumizi ya kuni.Bila taifa gas bei isingeshuka unajua kwann ??
Na Mama yenu yupo kimya tu kajifungia tuliii, watu wanakula kwa urefu wa kamba yao, kwanini hizo pesa basi wasingekarabati shamba la bibi uwe kama wa Mkapa alafu wa Mkapa waje kuukarabati mwakani baada ya shamba la bibi kukamilika? Kumbuka wanasema utakamilika mwakani mwezi wa saba, je timu zetu zitacheza wapi? Unajua mambo mengine ni ya kipumbavu sana, wameona mama hajui kitu basi wanafanya wanavyoweza tu.hapa naona kuna upigaji! kwahiyo hapo ulipo hauna viwango vya CAF na FIFA?
Hawajasema hivyo.Itakuwa Gharama zinagharamia ule wa Zanzibar pia!
Huo ukarabati wangeuhamishia pale shamba la bibi ili tuwe na viwanja viwili vya kimataifa, alafu huko mbele tutafute pesa kwa ajili ya uwanja wa Mkapa.Upigaji hakuna hapo, na gharama ni zaidi ya 31 billion.
1. Lift mbili mpya
2. Viti vyote vya mashabiki kutolewa kuwekwa vipya na vua kisasa zaidi
3. Bench la wachezaji wa akiba kuwekwa la kisasa na viti VIP
4. Mfumo wa taa. Mfumo wa taa uliokuwepo ni taa za kilofa amzo zikizimika hutumia zaidi ya 30mnts kuwaka tena, sasa zzinawekwa mpya na za kisasa na nyingi zitakazowaka kwa sekunde zikizima
5. Screens za matangazo ya Biashara uwanja mzima
6. Two big screen/Mpira na matokeo
7. Mgahawa
Mambo ni mengi kwa kweli na kitakwenda kuwa kiwanja bora sana Africa. Ujenzi utakamilika next year July, nafikiri waona ni ukarabati wa nguvu mno.
31bn sio hela nyingi sana kwa viwango vya sasa hiyo ni sawa na USD 12.4m zile advertising billboards tuu za kuzunguka uwanja ni more that USD 1m pekee bado viti imagine vitu 60,000 kila kimoja bei gani?Hapo kidogo umenishawishi aisee. Ila 31 billion ni pesa nyingi sana aisee.
Unazunguka hapo hapo na mambo yale yale daily.
Dah hii nchiNa hawa sio matahira

Ila naunga mkono hoja walifaa wajenge uwanja mpyaHilo Mimi halinihusu ila nanukuu walichoandika kwenye taarifa yao