Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

China ndio second boss wa uchumi Duniani na Wachina wako all over the World sio sawa hao wapuuzi njaa wa Russia.
Kwakwakwa alaf ukakitumie wapi wafanyabiashara wote wanaoenda china hawajui kichina unayo hio taarifa??🤣🤣🤣

Chuki zako zitasaidia nn au zitaondosha russia kua super power ??🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwakwakwa alaf ukakitumie wapi wafanyabiashara wote wanaoenda china hawajui kichina unayo hio taarifa??🤣🤣🤣

Chuki zako zitasaidia nn au zitaondosha russia kua super power ??🤣🤣🤣🤣🤣
Hawajui ila Wana wakalimani Wachina,harafu tunahitaji maelfu ya Watalii kutoka China.

Usome Kirusi umekuwa taahira?
 
Hawajui ila Wana wakalimani Wachina,harafu tunahitaji maelfu ya Watalii kutoka China.

Usome Kirusi umekuwa taahira?
Wakalimani wa nn wakat wafanyabiashara wote wanaokwenda china wanaongea english wakalimani wa nn sasa na umesema wajifunze kichina ??🤣🤣🤣🤣

So hata mataifa mengine wanaojifunza kiswahili ni mataahira pia au sio dalali🤣🤣
 
Upigaji hakuna hapo, na gharama ni zaidi ya 31 billion.

1. Lift mbili mpya
2. Viti vyote vya mashabiki kutolewa kuwekwa vipya na vua kisasa zaidi
3. Bench la wachezaji wa akiba kuwekwa la kisasa na viti VIP
4. Mfumo wa taa. Mfumo wa taa uliokuwepo ni taa za kilofa amzo zikizimika hutumia zaidi ya 30mnts kuwaka tena, sasa zzinawekwa mpya na za kisasa na nyingi zitakazowaka kwa sekunde zikizima
5. Screens za matangazo ya Biashara uwanja mzima
6. Two big screen/Mpira na matokeo
7. Mgahawa
Mambo ni mengi kwa kweli na kitakwenda kuwa kiwanja bora sana Africa. Ujenzi utakamilika next year July, nafikiri waona ni ukarabati wa nguvu mno.
Unless wanaongeza Capacity by atleast 10k that will be fine we need more seats bora watoe zile racing trcks , hazina maana waziweke Uhuru Standium ile Nafasi ichukuliwe na Seat mpya hata 10k hadi 20
 
Leta mkataba tuone kama unayoongea ni ya kweli??🤣🤣🤣🤣🤣
Acha upuuzi wako,hayo maelezo yameelezwa Jana na Katibu Mkuu.

Mkataba ni Siri nikuwekee hapa Ili iwaje? Nenda Kwa mkandarasi na wasimamizi wakupe au PPRA
 
Wanajenga pitch up ya
Wanatoa viti vyote na kuweka vipya
Wanakarabati vyumba vya Kubadilisha nguo
Wanafunga Mifumo mipya ya umeme nk
Mh Bado Bil 31 ni nying mzee , wa expand uwanja kuweka seat mpya elfu 20 ,utakuwa mkubwa na kuweza kuleta viingilio vingi zaidi toa track race
 
Kilimani
IMG_20230727_094416.jpg
 
Back
Top Bottom