The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Huyo tangu alipokosolewa tu basi mpk kesho Tanzania imegeuka adui yake namba moja, hapendi kukosolewa anaona ni vita, kumbe unaweza kukosolewa na bado ukaipigania nchi yako mana ni yako tu hata ufanyeje, mbn Wakenya licha ya nchi lao kuwa bovu lkn bado wanalipigania hivyo hivyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mwingine ananiuliza purpose yake ni nini?[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]