Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mnaosha train kama kibakuli 🤣🤣🤣🚮

Mpo nyuma mno
Ausio🤣🤣🐒
images.jpeg
 
Kwa nini kwenye shughuli zinazofanyika Tanzania, serikali ikubali (kwenye mikataba) kutumia mahakama za nje? Ujuha unaanzia hapo.

Kampuni za ulaya zinazofanya shuguli zake China zinahukumiwa kwenye mahakama za China, Kwa nini sisi mikataba yetu wakati wa serikali za Mkapa na Kikwete zilikubali ujinga huo? Na sasa huyu mama anaturudisha kule kule, huoni tatizo siyo wanasheria bali viongozi dhaifu wa serikali?
Na Magufuli sheria mpya za madini alitaka tutumie mahaka za ndani.
 
We jamaa umeanika kende vibaya sana kwa vipicha hivi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nishaichukua hii, asante sana Coco reborn and here is the difference between Tanzania and Kenya [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
tapatalk_798955296_540x720.jpeg
tapatalk_1690377174177.jpeg
 
Back
Top Bottom