Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The Green City
Nairobi
20230725_083254.jpg
 
Dodoma inakuja vzr sana aisee....waache wabaki na Nairobi Nairobi....

Ila naona kuna sehemu pana nyaya za umeme zimepita juu zinaonyesha uchafu wakati mji umepangiliwa vizuri.

Kama miji ni mipya kwanini wasiwe wanapitisha nyaya za umeme ardhini ili kuupendezesha zaidi.

Hizi nguzo na minyaya naona ni uchafu tu.
 
Sijui ntaficha sura yangu Mimi

View attachment 2699196
Na wala hatukuwa tunataka kuonesha hivi vitu kabla ya muda sema wametaka wenyewe na kelele zao, yn SGR ya Tz lkn kelele wanapiga wao, mnakumbuka hata kipindi tunaanza kununua ndege tulileta Bombardier kwanza jamaa wakapiga kelele as if hawajui kwamba dreamliner na Airbus zilikuwa kiwandani zinatengenezwa, lkn hatukuwaonesha mpk zikaisha zikaletwa, ila hii ilikuwa haina jinsi zaidi ya kuwaonesha mapema
 
Yaani najisikia Raha kuwa mtanzania tu,ila Magu,dah apumzike Kwa amani 🙏😔
 
Back
Top Bottom