Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Video za propaganda kwasababu hatoi critique ya aina yoyote. Kujenga majengo especially kwenye mji uliokuwa designated kuwa capital kunahitaji kuwe na identity. Natazama video zote na neno moja naweza kusema ni BLAND.
 
I love the sleek Kenya made ship
View attachment 2694499
Huu uchafu ndio mlikua mnalinganisha na mv Mwanza? 😂😂😂
images (19).jpeg
images (20).jpeg
 
Unaweza kufanya comparison per kila kipengele, na hakuna jiji linaloweza kumshinda mwenzake katika kila kipengele, kula moja ina strength zake na weakness zake. Having said so, hatutakuja kufikia muafaka wa jiji gani liko better kuliko mwenzake unless tuite third part afanye comparison kwa kutumia checklist so ushindi utolewe kwa total points collected. All in all the difference will be just minor/negligible, again because jiji linaweza kuwa strong katika area fulani lakini liko weak katika area nyingine.
 
Back
Top Bottom