Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Shida ya Tz gated community ipo scattered sn, mfano Samia housing ilipaswa ijengwe hapa, yn ilitakiwa tuwe na eneo moja ambalo tunalijaza gated community zen likijaa tuhamie lingine, lkn unakuta hizo community kiasi ziko hapa zingine ziko kule zingine ziko huku yn vurugu mtindo mmoja, mwisho wake mashakahola yanaona kama yanatuzidi kumbe sio kweli mana yenyewe yameweka sehemu moja tu, ndiyo maana mashakahola yanapinga report ya World Bank kwamba tumewazidi mbali sn kwenye gated community kumbe ukiangalia ni kweli sema sisi zetu tumezitawanya.
 
Screenshot_20230721-165940.jpg
 
Yanga hawakuzindua jezi juu ya mlima bali walianika jezi chafu zenye jasho tuu [emoji16]
Hatuwezi kuzindua jezi mlimani mkuu, huo ni upungufu wa akili, timu gani umewahi kuona wanazindua jezi mlimani? Ni vile Simba inatafuta njia ya kwenda sambamba na Yanga kwa zama hizi za kina Hersi, mkuu hizi zama Yanga itasumbua sn na kwakifupi tu Yanga haishindani na timu yoyote hapa Tz, iko mbali sn, Yanga tumeshafikia level za kuuza mchezaji kwa $1...m hiyo siyo level za East and Central Africa kaka, mtuvumilie kwa ss, sisi tushatoka huko kwenye comedian football [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ukumbuke sisi ni mabalozi wa Visit Tanzania wengine Visit Serengeti sijui Zanzibar [emoji16]
 
Afadhali kupigwa ban kuliko kucheza Tanzakundu
Hahahaha, watalipa hiyo pesa na wataruhusiwa kuendelea, hata wakizuiliwa, timu yenu ya Taifa na mshindi wa pili anayeshiriki mashindano ya shirikisho lazima zitachezea Tanzania, hamuwezi kutukwepa.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Tanzania haikwepeki kwa kitu chochote si mpira wala chakula au remitansi [emoji16]
 
Back
Top Bottom