Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi cbd
FB_IMG_16897712051818373.jpg

Dar cbd
IMG_202128_18623.jpg
 
It has come back to bite them.

View attachment 2694000
source za kipumbavu wangapi wanategemea wheat Tanzania? Kwani sie tumekuwa Waarabu?
 
We know all how it will end, refer back to the issue of foreign currency reserves and port. Roho chafu kuanzia rais mpaka mkaazi wa chini

 
Hilo wazo la Bureau de change mahotelini ni njia ya kutakatisha pesa, utalii kisingizio. Watu wameiba pesa sasa wanatafuta njia ya kuzitorosha kiulaini.

Magufuli akili kubwa ile, leo ungekuwa na jeuri gani ya kuwatambia wakenya kuwa tuna treni ya umeme. Huyu mama yenu anaakili gani ya kuongoza nchi zaidi ya uchuuzi, nchi inamshinda maji yanakatika kila siku, wakati wa Magu yalitiririka masaa 24.
Mpaka maji yanakatika sasa?
 
Sielewag majeshi ya kenya😄.. hawa ni wanajeshi au polisi?
Mtu ajaribu kunipa utafaut wao.. yup ni polisi na yupi ni mwanajeshi
Hizo uniform za police kenya kwa kweli walichemka sana. Hzo zilitakiwa kuwa za jeshi (KDF). Kwa mgeni akifika Kenya kwa mara ya kwanza akawaona hao police atadhani ni wanajeshi. Uniform za police zinatakiwa kuwa plain bila mabaka mabaka. Kusema ukweli sijawahi kupenda hizo uniforms za police wa Kenya zinaoonekana mbaya na kwa wengi wa police zinonekana ni oversize.
 
Back
Top Bottom