Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ninashangaa kitu kimoja, wakati wa Uhuru hawakutaka kushare ugali kwa meza.Sasa why kipindi cha Rutto ndio wameona huyu wanatakiwa kushare naye ugali?

Maisha yamepandaje kiasi hicho hadi wakose uvumilivu. Gharama za maisha ziko juu kwa kila nchi;na sasa hivi zitapanda pia maana Russia kajitoa kwenye makubaliano ya usafirishaji wa nafaka na Ukraine, tena jana kashambulia ghala la nafaka la Ukraine katika mji wa Odessa na kuharibu takribani tani 60000 za nafaka, shakahola watasemaje hapa?
Mkuu waliokuwa na haki miliki ya ugali wako nje ya dining hall intruder ndio anakula ugali peke yake kwa dinning room sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
That is misinterpretation by your media she did not mock but said Tanzania is witnessing an influx of investors who abandoned the Kenyan market.

What is wrong with that statement?
You don't need to explain anything to these stupid Kenyans, they always behave like spoiled children playing victim cards looking for sympathy always.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu waliokuwa na haki miliki ya ugali wako nje ya dining hall intruder ndio anakula ugali peke yake kwa dinning room sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Okay! Jamaa anapiga matonge nyama mwenyewe kwa umakini hata likidondoka analisigina kwa mguu ili walioko nje wasiweze kula hata makombo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukiona povu jingi ujue dawa imeingia yote hadi sindano imegonga mfupa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sema nini mzee bi mkubwa huwa ana vijimaneno vya mafumbo akivirusha tu unasikia makelele tokea gizani woyo woyoo,hapo jua vimemfikia mhusika,na siku hizi wameacha kumsifia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Okay! Jamaa anapiga matonge nyama mwenyewe kwa umakini hata likidondoka analisigina kwa mguu ili walioko nje wasiweze kula hata makombo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Miaka yote kenya imekuwa ruled na only three dynasties Kenyatta, Moi na Odinga sasa hawa ndio wenye haki miliki ya Kenya wengine wote ni juakali ama ma hustlers.

Hii inamikumbusha wakati Roman empire inaanza kuanguka ikawa ruled na barbarians kama Odoacer and the likes.
 
Tazameni main stand ya matatu aisee...
Hawa ndo wanasema tz tuko nyuma miaka 30?
Hata kujenga bus stage hawawezi? Wanazidiwa hadi na mwanza?

1689860245770.jpg
 
Miaka yote kenya imekuwa ruled na only three dynasties Kenyatta, Moi na Odinga sasa hawa ndio wenye haki miliki ya Kenya wengine wote ni juakali ama ma hustlers.

Hii inamikumbusha wakati Roman empire inaanza kuanguka ikawa ruled na barbarians kama Odoacer and the likes.
Wafuasi nao wasivyokuwa na akili wanamsupport kwa kisingizio cha kodi na wanawaona jamaa anawatetea kumbe anaendeleza ukabila na kutaka kula keki ya Taifa.

Ila jamaa amesema atakaa naye kwa meza amsikilize lakini si kula ugali pamoja.Je atakubali?

Roman empire ilivyoona Christians wanapendwa zaidi ikabidi wajiingize kwenye dini ili kukwepa utawala wao kuanguka;nikirudi kwa Rutto akiendelea kung'ag'ana na kiti hawa jamaa si watamuangusha na Kenya yote kutumbukia kwenye machafuko?
 
Back
Top Bottom