Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Probox zimejaa kama takataka[emoji1787][emoji1787]
Huu Umaskini uliopo kenya Mungu ndo anajua...
Q5Qfk3VE.jpg
 
Wakenya wanamwaga povu sio kawaida


Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Huyu mwamba kawapiga kweli kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Cc mgagaa na upwa huyu ndio yule mwamba wa TikTok nini mana ana balaa, kawapiga kweli kweli alafu pia nahisi yupo humu kwenye huu uzi mana kuna vimaneno maneno vya humu kaviweka pia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]

 
Back
Top Bottom