Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tangu lini mukaendesha magari left hand side hvi nyinyi mbona mumekaa kama kondoo kazi kudanganywa na kuswagwa na wanasiasa 😅😅😅😅😅😅😅

Yani ukitaka kunidanganya mm ufanye kazi kweli kweli yani ujitoe haswa 😁😁😁
View attachment 2685266
Hawa jamaa waongo waongo sana. Sijui wanapata faida gani kupiga watu fix.😂😂😂😂😂
 
FYI Abuja took Dodoma's Masterplan! Najua wivu umekupa tumbo la kuhara!
Abuja was designed by Japanese architect Kenzo Tange. Hivi Kenzo Tange amekuwa Mtanzania?🤣🤣🤣 Tunawadesignia Hadi parliament yenu alafu mpate wapi uwezo wa kudesign city. Dodoma yenyewe iko disorganized hata usiseme. Hamna similarity yoyote between Dodoma na Abuja.
 
Hadi Watanzania wenzako wameona list Ni bogus na upon unashangilia. Yani ujinga ingine ni ya kuona tu na macho.

Hiyo ni twitter kila mtu ana mawazo yake, lkn haiondoi ukweli kwamba kwa sasa tuna best universities than you. FYI, UDSM kwa ss haiwezani na MUHAS. Kwa kifupi tu ni kwamba kwa sasa hakuna chuo kinawezana na Muhimbili hapa East and Central Africa thus y even Sudanese waliamua kuchagua Muhimbili over all universities in East and Central Africa, kuthibitisha hilo hata wewe umeona haya kuweka ki article chako cha mchongo kama mlivyozoea huko nyuma baada ya kugundua ukweli.
 
Mkuu wa magereza tanzania 😅😅
20230712_101618.jpg
 
Watu wengi wenye matusi huwa hawana elimu ama ndio fala. Sababu, mi sioni hapa kitu cha mno jinsi unavyo hangaika na kutusi bila hoja. Unashida!? Kuna watu kama Ndinda, Game Over, etc hurusha hoja zao kistaarabu. Wanajielewa
Hata hivyo roho mbaya haijengi, ila elimu kuhusu Nairobi utapata tu.
View attachment 2685278
Huku watu hua hawaongei sana

 
Back
Top Bottom