Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Has Bongo ever hosted a world event?… ever ever??… Apart from the annual Safari Rally ( a world Rally event), we have hosted world Athletic championships, world cross country, World cricket
2402179B-ED38-44CA-84E8-EEEE599FF1F7.jpeg
among others…. Now here comes World Rugby…Why does the world not choose Bongo?… I thought you have Serengeti….🤣🤣🤣🤣
 
Nimeona umeungana na Malima kumpinga mama yenu kwenye bandari.
Sijawahi Pinga Uwekezaji hata siku Moja,kwanza Mimi nataka DP World waje hata kesho.

Malima hajapinga ila ameshauri terms ziwe Bora na ametolea mfano wa tulivyopigwa kwenye Madini so acheni uchochezi.
 
Sijawahi Pinga Uwekezaji hata siku Moja,kwanza Mimi nataka DP World waje hata kesho.

Malima hajapinga ila ameshauri terms ziwe Bora na ametolea mfano wa tulivyopigwa kwenye Madini so acheni uchochezi.
Malima kaongea kiasiasa tuu ila yuko upande wa wananchi, tena kapiga kijembe cha kiushkaji kwa kusema "sio wajomba zetu". Mama na genge lake hawako upande wa wananchi.
 
Actually Nairobi has roughly a diameter of 56Km though some cross-sections go beyond 70Km.
View attachment 2685248
This is how the far south looks like, 30 Km from the CBD
View attachment 2685249View attachment 2685250View attachment 2685251View attachment 2685252
Juja ni kiambu na athi ni machakos, Nairobi haiwezi peke yake kupambana na dar bila kuungana na machakos, kiambu, thika, murang'a, kajiado 🤣🤣🤣 lazima ziwe caunties 7 versus 1 Dar na bado hazitoboi
 
Malima kaongea kiasiasa tuu ila yuko upande wa wananchi, tena kapiga kijembe cha kiushkaji kwa kusema "sio wajomba zetu". Mama na genge lake hawako upande wa wananchi.
Sawa
Malima kaongea kiasiasa tuu ila yuko upande wa wananchi, tena kapiga kijembe cha kiushkaji kwa kusema "sio wajomba zetu". Mama na genge lake hawako upande wa wananchi.
Basi apishe kiti kama hakubaliani sio lazima kufanana maoni
 
Ruiru ni kiambu county so?? 😅😅😅 ukiambiwa nairobi ni ndogo sana kubali
696km sq my friend au ni uongo
View attachment 2685254

Na mlolongo iko machakos county kwann unakua muongo hvi ukidanganya watu unapata nn au unashiba ???🤣🤣🤣🤣
View attachment 2685257
🤣🤣🤣🤣🤣 Nilishawaambia Nairobi ni finyu kama tundu la sindano kusimama na dar lazima zijiunge counties 7 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom