Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,856
- 22,191
Kuna sababu yake hivyo visiwa kuachwa wazi.Kwani Zanzibar wana Mmarekani, Basi tu wawekezaji hasa wa ndani ndo wanahitajika , mfano Mbudya inahitaji kuwa world class island , Bongoyo etc
Kuna sababu yake hivyo visiwa kuachwa wazi.Kwani Zanzibar wana Mmarekani, Basi tu wawekezaji hasa wa ndani ndo wanahitajika , mfano Mbudya inahitaji kuwa world class island , Bongoyo etc
"Baba" kasema utokee Kamukunji na sufuria lako la ugali kichwani; ha ha ha eti unaishi kwenye nchi tajiri, duh🤣🤣This is a safe space for tanzanians to console their impoverished country....kelele siku nzima na bado mko top 30 poorest countries on earth.....what a pity....
The only sufuria kwa kichwa we know ni helmets za TPDF…now I understand why they also carry firewood in the parade…. It’s mobile kitchen…. Meals on legs…🤣🤣🤣🤣🤣🤣"Baba" kasema utokee Kamukunji na sufuria lako la ugali kichwani; ha ha ha eti unaishi kwenye nchi tajiri, duh🤣🤣
I will make a stop on my next trip home… only under three conditions.. I bring my own security, we have to tour Uswazi wa Dodoma and take photos and we must compare the size of new Dodoma development in comparison to size of the existing Uswaziland….. deal??….Kiukweli hadi nimekosa cha kusema .ila tafuta siku ufike dodoma nitakua mwenyeji wako
mwaiofhawaii. Unajua mkitaja taja dodoma me huwa nafurahi tu 🤣 DODOMA ni league nyingine Bro. Cheki hizi mitaa wala sio government city but they are rapidly growing .. juzi nimepita DODOMA wakati nikienda Mwanza, anyways nimeona hiz picha kwa jamaa wa kuuza viwanja. Heb toa tongo tongo kidogo 👇. .
Wacha kurukaruka wewe, nilikuambia kwamba, mara tu bwawa la kuzalisha umeme litakapoanza kazi, deficit ya balance of trade itakua mara dufu ya hii ya Sasa, nani aliyesema kwamba hivi Sasa ni mara dufu?. Wacha kutapatapa soma uelewe kabla ya kujibu.It's only 9 billion deficit sijui hio double yako ulkua unatoa wapi. Kenya last year ilikuwa na kiangazi ndo maana tuliimport alot of food stuff, watch mwaka huu hio deficit itapungua.. alafu mtu anaweza fikiria ni kitu important mnaexport kenya unapata 80% ni mahindi
Iyo sio life sentence, tunajikwamua...tunakubali kua bado safari ni ndefu lakini hatuko pabaya kama tulivyokua miaka 10 nyumaThis is a safe space for tanzanians to console their impoverished country....kelele siku nzima na bado mko top 30 poorest countries on earth.....what a pity....
Hivi unajua grid yetu pia ipo connected na ya Ugandan na Ethiopia? How much electricity do we import? Ukweli ni kwamba you only export food stuffs to kenya which inategemea seasons, kama kuna kiangazi kenya ndo mnaexport sana. The problem is soon tutaacha kuimport some of the food stuffs once our irrigation projects start workingWacha kurukaruka wewe, nilikuambia kwamba, mara tu bwawa la kuzalisha umeme litakapoanza kazi, deficit ya balance of trade itakua mara dufu ya hii ya Sasa, nani aliyesema kwamba hivi Sasa ni mara dufu?. Wacha kutapatapa soma uelewe kabla ya kujibu.
Please stop throwing excuses all over, accept defeat and take action to identify and correct causes. Ninyi wakenya Kila mkishindwa lazima mtafute sababu za kijinga, ndio sababu Alshabaab wanawachezea Sana.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Another day for tanzanians kushinda wakiwatch kenyan tv#MaandamanoDay..
tuko tayari kuona barabara zote ni za lami, magari yote ni ya 5 years ago... etc
. It feels good to have a vibrant mediaNyinyi sio tu food staff mpaka electricity mutanunua kutoka tanzania bila kusahau gas lazima tuwaonyeshe misuli yetu this time mark my words 😅😅😅😅Hivi unajua grid yetu pia ipo connected na ya Ugandan na Ethiopia? How much electricity do we import? Ukweli ni kwamba you only export food stuffs to kenya which inategemea seasons, kama kuna kiangazi kenya ndo mnaexport sana. The problem is soon tutaacha kuimport some of the food stuffs once our irrigation projects start working