instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,544
- 19,491
Tanzania na kenya ni wap watu wanazaana kama kunguni?Unaijua population density ya hizo sehemu, ulitaka tujenge barabara pasipo na watu wakati huo. Kenya sio Tanzania ambayo watu wazaana Kama kunguni. Kama tuliwapiga gap wakati huo ambapo hizo sehemu zilitelekezwa, saivi ndo mtatuweza?
Kenya mko more than 57million
TANZANIA na ukubwa wote huu tuko 61 tu...
