Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi



Unnecessary. Just escort them out of your waters or detain them and confiscate all their equipment. No need to kill people just trying to make a living and may very well be the sole bread winner for their family

Escort kwani milio ya risasi si mapambio ya kuwasindikiza nyumba ya milele?
Wenzao waliacha mtumbwi!
mkafanye fishing kwenyu! Pumbavu!
 
Huko Morroco na Egypt hakuna timu zinazoshiriki?, Ukweli ni kwamba wanajisikia vibaya kuja Tanzania kutokana na Chuki na wivu walionao kwa Tanzania.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Huo uwanja wenu usiokuwa na mataa??kuweni serious... Kasarani na nyayo ziliundergo renovations na zimetimiza masharti ya CAF zinangoja tu waangalizi wa CAF ambayo itafanyika kabla ya ya hii michezo kuanza
 
but the truth is huko mitaa ya tz lami ni hadithi tu...99% dirt roads.The poles issue will be sorted by kplc and the contractor in due course....thats why mkiambiwa lami tz ni cbd tu na wageni mnaseme mnaonewa
Kwanza hio free area nakuru ni mtaa wa watu wa chini na inawekwa lami kwenye access roads wakati dar apart from the main roads ni vumbi tupu
 
Acha ku justify upuuzi. Akili zenu sijui zikoje hizi ni tax payers money lazima value for money ionekane na si ajabu KENHA wali accept hii barabara na contractor alishakunja zake mapema na kusepa
Hizi ni miradi za wawakilishi wodi haipo under kenha
 
According to that data in East Africa 2022

JKIA 6.56million
JNIA 2.4million
Zanzibar 1.77 million
Entebbe 1.71million
KIA 828k
Kigali 718k
Bujumbura 235k

Vitu vya ku note

Zanzibar gets more pax than Entebbe

KIA gets more passengers than Kigali

Growth of Air Tz will boost JNIA use as hub be ause of transit ya passengers , hyo ndo bread and butter ya KQ na Ethiopian

Congrats JKIA
Ila Zanzibar inapanda kwa kasi sitashangaa kama ikiipita JNIA!
 
Huo uwanja wenu usiokuwa na mataa??kuweni serious... Kasarani na nyayo ziliundergo renovations na zimetimiza masharti ya CAF zinangoja tu waangalizi wa CAF ambayo itafanyika kabla ya ya hii michezo kuanza
Wakati nyie mnasubiri subiri viwanja vyenu vya mkoloni vipewe ruhusa na CAF sisi tayari tuna viwanja vinatumika kimataifa na nchi kibao zinaomba kutumia viwanja vyetu, so we are not your level.
 
Kubweka tunawaachia Wakunya!




F0L92KvWAAEmy7c



More than 19 buildings r U/C!
F0I7-2UXwAUX5FA


F0I7_aeX0AASeAb

Tanzania tuongeze ubunifu kwenye Architecture yetu,Majengo mengi ya Wizara ni kama mchoraji alikuwa mtu mmja.
 
Kwanza hio free area nakuru ni mtaa wa watu wa chini na inawekwa lami kwenye access roads wakati dar apart from the main roads ni vumbi tupu
Ndio maana mnaambiwa mtembee msijifiche tu kwenye kijiji chenu cha wahuza mihogo mkadhani nchi zote Afrika zipo kama nyie
 
Back
Top Bottom