Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Hii kampuni ya kiarabu inayotutengenezea JNHP watu walikua wanaichukulia baridi kumbe inaaaminika huku kwao. Huu hapa mradi wao jamaa wanajenga metro system kwao huko 👇.

Mchina a.k. a (mjamaa)kaweka nembo yake hapoNairobi Expressway ni mfano murwa wa PPP hadi wadanganyika CCM imebidi watembelee Kenya kujifunza kuhusu expressway na PPP ata kama wanaskia wivu
View attachment 2678298View attachment 2678299View attachment 2678300
Yeah ni tourist hotspot, Dar its more of business, the only way Dar gets more tourist ni kama Kigamboni/ Islands or Bagamoyo beaches become more attractiveIla Zanzibar inapanda kwa kasi sitashangaa kama ikiipita JNIA!
Si mlimfukuza Marekani Alitaka afanye yake Kigamboni,ngoja mambo yaendelee kwenda Kiswahili SwahiliYeah ni tourist hotspot, Dar its more of business, the only way Dar gets more tourist ni kama Kigamboni/ Islands or Bagamoyo beaches become more attractive
Out of list🤣What of Mombasa airport?
Kabla CAF hawajakuja kuthibitisha, kwanini msije Tanzania ambako CAF waneshathibitisha badala yake mnaenda mbali na timu zenu ni masikini hazina pesa?, Punguzeni wivu. Juzi Burundi na Namibia wametumuia, vipi ninyi mnaenda mbali?, Punguzeni" inferiority complex"Huo uwanja wenu usiokuwa na mataa??kuweni serious... Kasarani na nyayo ziliundergo renovations na zimetimiza masharti ya CAF zinangoja tu waangalizi wa CAF ambayo itafanyika kabla ya ya hii michezo kuanza
Njooni mcheze jioni Kama walivyocheza Namibia na Burundi. "Nothing else but inferiority complex"Unahost lakini uwanja wenyewe ni ovyo eti mechi zinasimamishwa kwasababu ya mataa kuzima
Shinyanga mjini je?
Kwahiyo ule madongo kuinama umeme ni round the clock? Mbona hamu-host international matches sasa? As we speak!Unahost lakini uwanja wenyewe ni ovyo eti mechi zinasimamishwa kwasababu ya mataa kuzima
Mkundustan at his best akiharisha wivu!Njooni mcheze jioni Kama walivyocheza Namibia na Burundi. "Nothing else but inferiority complex"
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
😅😅😅😅 kenya hapana aloo
kuna ukweli watalii wanaenda sana kule! Hata KIA inaweza kuwa mbele ya JNIA kwa international visitors maana kwa hiyo +800,000 unawezakuta 80% ni tourists!! Na tutegemee namba ya PAX JNIA kushuka zaidi pale Msalato na Mwanza Airports zitakapokamilika na kuanza kupokea international flights! Mkakati kabambe na madhubuti unahitajika kwenye hili kunusuru hii facility pale JNIA!Nilisoma somewhere imeipita JNIA Kwa namba ya International Visitors
2019? R u full of kinyesi in ur head to not know we r in 2023 now and only 2022 stats r valid? Do u know Kenya was hit hard during Corona pandemic? There is no way Mombasa airport can be above Kilimanjaro International Airport right now! And there is no way it can be above Abeid Aman Karume International airport that is receiving over 1.8 million PAX at the moment!
Kwani Zanzibar wana Mmarekani, Basi tu wawekezaji hasa wa ndani ndo wanahitajika , mfano Mbudya inahitaji kuwa world class island , Bongoyo etcSi mlimfukuza Marekani Alitaka afanye yake Kigamboni,ngoja mambo yaendelee kwenda Kiswahili Swahili
I doubt Msalato or Even Mwanza will receive alot of international planes , do you expect KLM/ Emirates /Turkish kushuka Dodoma any time soon , kwa my predicition it will take hata 10 years for Dodoma Airport to get international airlines maybe Mwanza ( Likes of KQ , Rwand na Ethiopian)kuna ukweli watalii wanaenda sana kule! Hata KIA inaweza kuwa mbele ya JNIA kwa international visitors maana kwa hiyo +800,000 unawezakuta 80% ni tourists!! Na tutegemee namba ya PAX JNIA kushuka zaidi pale Msalato na Mwanza Airports zitakapokamilika na kuanza kupokea international flights! Mkakati kabambe na madhubuti unahitajika kwenye hili kunusuru hii facility pale JNIA!