The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,484
- 98,529
Sijaongelea ndege nielewe mkuu, hao Ethiopia huenda wanawazidi wamisri kwenye idadi ya ndege, vipi utalii? Vipi idadi ya tours? Ndicho ninachomaanisha, siongelei ndege, ndege wabaki nazo wenyewe, sisi tutawapiga kwengine.Kwa kuanzia. Ethiopian wana ndege 140......sisi hata 10% ya hiyo namba bado hatujafikaAfrica hakuna shirika hata moja linawafikia. Kwa wale tuwaache tu boss

