Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Buruburu is 50 years old and it's still better than anything in Bongolala. I like how you always fall on yourselves to disparage Nairobi against a city from another country when you realize your Dar is slum can't compete.
Unaongea ujinga gani wewe .? Bury buru huu uchafu. Heb linganisha hata na hizi estate kutoka bongo Dasilinga buru
stdmbsjydepgzsnep.jpg
101102978.jpg
5ed6dc88-1fca-47f5-bafe-82c50a9f3238.jpg
vs Avic Town 👇
maxresdefault(89).jpg
maxresdefault(90).jpg
au hii estate kijichi 👇
Screenshot_20220910-194550_2.jpg
EEA-EASXUAAesVu(0).jpg
hiyo buruburu ni uchafu tu kwa mradi mkubwa kama huu nssf kijichi housing. Watu hawapost tu Ila sio kama hatuna mjomba 🤣🤣
 
Takataka yako ya makunduuchi inauza nchi ...niliwaambieni huyu bibi ni mpumbavu ...mkadhani mimi nikimwita mtu mpumbavu uwa na bahatisha [emoji40][emoji40] ...ila ukweli ni kwamba nikikutamkia mtu yoyote kuwa yeye ni mpumbavu basi jua tu ni mpumbavu kwelikweli
 
Namibia ina quality ila sii quantity. Windhoek ni mji mdogo sana ingawa una infrastructure nzuri. Windhoek size yake labda Kigali. Angola haifikii Kenya kwa real Estate. Ukitoa ile waterfront ya Luanda na empty Kilamba City kuna kipi kingine hapo?
Nyinyi hamna quality wala quantity kushindana na Namibia wala Angola kama unabisha weka hapa estate zenu zote tuone.
 
Nimeona mbweha fulani ikisema eti Tz iko na university mbili top 10 Africa na Kenya haina. [emoji23] [emoji23]

View attachment 2678709

Tangu lini Sokoine University ikazidi Muhimbili, tangu lini Sokoine University ikazidi University of Dar es salaam, tangu lini Sokoine University ikazidi Ardhi university [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hapa EA kwa ss Muhimbili ndio baba lao, hivi ndiyo vile vi article mnakaa chumbani mnavitengeneza lkn mpya ishatoka na inaitambua Muhimbili kama the best in East and Central Africa, no wonder Wasudan wakachagua the best hata ukilia huo ndiyo ukweli ishi nao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
sasa ni Nairobi vs Luanda. Dar imeshindwa na hata Mombasa
Sisi tuliamua kutawanya maendeleo tofauti na nyie kila kitu Nairobi, Dar estate zipo na zina thamani kubwa kuliko estate zote East and Central Africa combined, ila kwa sasa tumehamishia ujenzi wa estate kule Dodoma, tena ni za kisasa kama unavyoona za Luanda, sio vi estate vyenu nzee.
Screenshot_20230705-070251.jpg
 
Wacha kujifanya unaijua luanda we kima.. baada ya kuwaumbua eti mko vizur sector ya real estate in sub Saharan Africa nyuma ya SA🤣🤣 kwanza who told you kwamba kilamba City ni empty.? Apart from kilamba City 👇. Kuna Talatona👇. Kuna zango 👇
View attachment 2678828
Hii zango zipo kwa phases tofauti, nakuekea na zango 3 👇.

Wacha kujiconsole na Luanda, tuoneshe Dar is slum.
 
Unaongea ujinga gani wewe .? Bury buru huu uchafu. Heb linganisha hata na hizi estate kutoka bongo Dasilinga buruView attachment 2678830View attachment 2678831View attachment 2678832vs Avic Town 👇View attachment 2678833View attachment 2678834au hii estate kijichi 👇View attachment 2678835View attachment 2678836hiyo buruburu ni uchafu tu kwa mradi mkubwa kama huu nssf kijichi housing. Watu hawapost tu Ila sio kama hatuna mjomba 🤣🤣
Kwa maoni yangu, 50 year old Buruburu imechapa huo upuzi wenu na mbali sana.
 
Kwa maoni yangu, 50 year old Buruburu imechapa huo upuzi wenu na mbali sana.
Kwa maoni yako lakini picha zinaongea tofauti [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Na usitumie neno 50 year old as if mna zingine mpya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
What are the most popular Universities in Africa? uniRank answers this question by publishing the 2023 African University Ranking of the top 200 recognized higher-education institutions in Africa meeting the following uniRank selection criteria:

  • being chartered, licensed or accredited by the appropriate higher education-related organization in each country
  • offering at least three-year bachelor's degrees or postgraduate master's or doctoral degrees
  • delivering courses predominantly in a traditional, non-distance education format
uniRank aims to provide a non-academic League Table of the top Universities in Africa based on valid, unbiased and non-influenceable web metrics provided by independent web intelligence sources rather than data submitted by the Universities themselves.

Its a popularity contest. Nothing to do with actual academics "uniRank aims to provide a non-academic League Table ". I mean if you look at their World Rankings they have the University of Minnesota ranked higher than Oxford, Princeton, U Chicago... come on now.
Sawa, tuoneshe ranking ya academics tuone maanake wenzako wanasema mna uni mbili top ten Africa. Tuoneshe hiyo ranking yenu bora.
 
Pombe wanaachia wajinga maskini wanywe walewe wasahau kesho yao huku wanasiasa waendelee kuwakanyaga tu 😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom