Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mumewshi kumaliza Ili muwahi kupata hasara?, Reli yenu ni mzigo kwa raia, haijawahi kutengeneza faida na kuanzia mwezi huu mnaanza kulipa deni lake, Kenya ni mfano mzuri wa kujifunza "Failures".

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
siwezi jibizana kuhusu sgr na mtanzania labda muethiopia. Unajua nini kuhusu uzuri na ubaya wa SGR?
Niulize kuhusu MGR hiyo ndo tunashare lakini SGR Kenya East Africa yote hakuna raia wanatumia SGR isipokua raia wa Kenya
 
Hebu onesha hiyo SGR nicheke [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
siwezi jibizana kuhusu sgr na mtanzania labda muethiopia. Unajua nini kuhusu uzuri na ubaya wa SGR?
Niulize kuhusu MGR hiyo ndo tunashare lakini SGR Kenya East Africa yote hakuna raia wanatumia SGR isipokua raia wa Kenya
Afrika yote hakuna nchi inayotumia diesel and old model SGR yenye kusababisha hasara tupu zaidi ya Kunyaland[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji38]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
According to that data in East Africa 2022

JKIA 6.56million
JNIA 2.4million
Zanzibar 1.77 million
Entebbe 1.71million
KIA 828k
Kigali 718k
Bujumbura 235k

Vitu vya ku note

Zanzibar gets more pax than Entebbe

KIA gets more passengers than Kigali

Growth of Air Tz will boost JNIA use as hub be ause of transit ya passengers , hyo ndo bread and butter ya KQ na Ethiopian

Congrats JKIA
 
siwezi jibizana kuhusu sgr na mtanzania labda muethiopia. Unajua nini kuhusu uzuri na ubaya wa SGR?
Niulize kuhusu MGR hiyo ndo tunashare lakini SGR Kenya East Africa yote hakuna raia wanatumia SGR isipokua raia wa Kenya
Ijumaa ijayo nenda kwenye maandamano ya "baba"; bila kusahau kuvaa sufuria kichwani🤣🤣🤣
 
According to that data in East Africa 2022

JKIA 6.56million
JNIA 2.4million
Zanzibar 1.77 million
Entebbe 1.71million
KIA 828k
Kigali 718k
Bujumbura 235k

Vitu vya ku note

Zanzibar gets more pax than Entebbe

KIA gets more passengers than Kigali

Growth of Air Tz will boost JKIA use as hub hence transit of passengers

Congrats JKIA
What of Mombasa airport?
 
Hakuna brt itajengwa Kenya.
Hatutaki barabara zetu ziwe ugly Ivo.
Never.
Porojo on point[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787] Ugly?you must be stupid or something ...

FYI inajengwa kwenye Main road zote za jiji...kupunguza foleni kwa watu wa kipato cha chini ndio key priority ya huu mradi...na pia inavutia hata middle class group kuacha magari yao kusave muda kufika kwenye ofisi zao katikati ya mji
51123050506_002c976cd7_b-736x552.jpg
Efm15FOX0AAJHMH-996x747.jpg

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
According to that data in East Africa 2022

JKIA 6.56million
JNIA 2.4million
Zanzibar 1.77 million
Entebbe 1.71million
KIA 828k
Kigali 718k
Bujumbura 235k

Vitu vya ku note

Zanzibar gets more pax than Entebbe

KIA gets more passengers than Kigali

Growth of Air Tz will boost JNIA use as hub be ause of transit ya passengers , hyo ndo bread and butter ya KQ na Ethiopian

Congrats JKIA
Kila siku huwa nasema Air Tanzania ndiyo itakayoleta heshima ya JNIA hasa transit, ofcz now tunaendelea vizuri zikija Max 2, dreamliner 1 jumla zitakuwa 3, na hizo bombardier yn mambo yatazidi kunoga, kdg kdg tunapangua machaka ya Bole, mm siiwazi JKIA ishajifia naiwaza Bole.
 
Back
Top Bottom