NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,041
- 19,233
Huwezi linganisha huo uchafu na Buruburu. Cha kushangaza huo uchafu ndio mwanzo na mwisho wa planned estates hapo Dar. Nairobi zipo kibao na bado zinajengwa hata huwezi hesabu.Sasa mbona picha zinasema vise versa mjomba.? 🤣🤣 Au umetoa maoni kwa kutumia nini.?