Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ubunifu wa watanzania
Hawajivunii kuongea kama mzungu bali kufanya kazi ya viwango na kuleta suluhu ya changamoto ikiwemo ukosefu wa ajira, Mkunya akishajua kuunda sentence ya kiingereza anajiona kamaliza hata akiwa jobless forever 🚮

 
Mnafuatilia news za kenya kwasababu zenu ni bogus hazivutii hata, ni zile za mtukufu rais kama wakati wa moi [emoji23]. Kuna hadi nyuzi zimefunguliwa kusifia media za kenya, watanzania wanafatilia media za kenya kama bbc na cnn [emoji28]
news ni kusifu CCM toka asubuhi hadi jioni inabidi wadanganyika wafuate news za Kenya
 
Hii estate hapo chini huwa haipiti wiki kabla hamjaizungusha hapa [emoji28].
Ulishaona wapi hii?

bmqun5.jpg
 
Kumbe hawa nyang'au hawakulipia Mombasa,
Sijui tuanze kuwadai??

Kila siku huwa nasema Mombasa ni Tz, nadhani leo mmenielewa, kwanza haifanani na Kenya kabisa hata watu wake hawafanani na Wakenya, ni watanzania wale kutoka Tanga na Zanzibar, wakati nakuwa nilikuwa najua Mombasa ni Tz, huko mbele ni lazima tutairudisha Tz.
 
Kuna Estate kitengela inaitwa Chuna Estate, mtu atafute picha. I tell you that estate carry the who is who in Kenya. Beautiful houses, bungalows
 
Back
Top Bottom