Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahaha, hawa so ndio wale wanaosema wanataka biashara huru, free market economy", dual citizenship?. Wakenya hamjui nini mnataka hapa duniani

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wazee wa kufuatilia news za kenya mmekosa kazi. Eti mkenya ajipate anafuatilia news za Tanzania, hata kampuni zenu za media wengi wetu hatuzijui
 
2023 Nairobi City Marathon prize money in the mens 42km marathon

1.Robert Kipkemboi 2:07:38 [emoji1139] - 3.5M
2.Charles Mneira 2:08:04[emoji1139] - 2.25M
3. Robert Kipkorir 2:08:41 [emoji1139]. -1.5M
4.Benard Kipkemoi 2:09:24 [emoji1045] - 800K
5.Abraham Biwott 2:10:22 [emoji1139]. - 650K
6.Amos Kiplagat 2:10:53 [emoji1139]. - 450K
7.Hosea Maiyo 2:11:01[emoji1139] - 400K
8.Timothy Kosgei 2:11:05[emoji1139]. - 325 K
9.Saekwo Alex 2:11:15 [emoji1139]. -300 k
10.Silas Kipchumba 2:11:37 [emoji1139]. - 200K
11.Emmanuel Sikuku 2:11:41[emoji1139]. - 175K
12.Isaac Lelei 2:11:47 [emoji1139]. - 150K
13.Benson Tunyo 2:12:03 [emoji1139]. - 140K
14.Chelimo Elias 2:12:21[emoji1139] - 130K
15.Michael Mutai 2:12:37 [emoji1139] - 120K
16.Aspel Kiptoo 2:12:42 [emoji1139] - 100K
17.Joel Kipsang 2:12:46 [emoji1139] - 80K
18.Kipchumba Rugut 2:12:47 [emoji1139]- 60K
19.NR 134. 2:12:48 [emoji1139] - 50K
20.John Kemboi - 2:12:56 [emoji1139] - 30K
 
Mm katika vitu ambavyo namshukuru Mungu ni kutokuwa mkenya, taifa la kisenge sana sijapata kuona, over 90% ya Wakenya wanatamani kuwa Watz but no tanzanian who wishes to be Kenyan.
 
Nyie kina kipmavi cjui kipkundu kazi yenu ndio hiyo kukimbia kimbia na pesa za maana hampati, pesa zimebaki kwa makabila mawili tu Kikuyu na Kalenjin fool stop.
 
Wazee wa kufuatilia news za kenya mmekosa kazi. Eti mkenya ajipate anafuatilia news za Tanzania, hata kampuni zenu za media wengi wetu hatuzijui
Hamna ia kufuatilia sisi tumejipanga, tulieni tuwaumbue, Kenya ni failed state.

This is what happen when Private sector is stronger than Government.

[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mm katika vitu ambavyo namshukuru Mungu ni kutokuwa mkenya, taifa la kisenge sana sijapata kuona, over 90% ya Wakenya wanatamani kuwa Watz but no tanzanian who wishes to be Kenyan.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti mkenya atamani kuwa mtanzania, we mimi hukupuuza tu
 
Hamna na kufuatilia sisi tumejipanga, tulieni tuwaumbue, Kenya ni failed state.

This is what happen when Private sector is stronger than Government.

[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mnafuatilia news za kenya kwasababu zenu ni bogus hazivutii hata, ni zile za mtukufu rais kama wakati wa moi [emoji23]. Kuna hadi nyuzi zimefunguliwa kusifia media za kenya, watanzania wanafatilia media za kenya kama bbc na cnn [emoji28]
 
Hahahaha, nchi yenu imekua ni kituko , yaani Kila siku ni viroja na mambo ya ajabu yanatokea kwenu, Failed state. Mumekosa Cha kutukosoa Sasa mnaanza kulialia tukiwakosoa. Kama unaishi kwenye Nyumba ya vioo, usiwarushie jiwe jirani zako.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha, nchi yenu imekua ni kituko , yaani Kila siku ni viroja na mambo ya ajabu yanatokea kwenu, Failed state. Mumekosa Cha kutukosoa Sasa mnaanza kulialia tukiwakosoa. Kama unaishi kwenye Nyumba ya vioo, usiwarushie jiwe jirani zako.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Eti nifuatilie news za Tanzania ndo nipate kiti cha kuwakosoa [emoji23][emoji23].. how old are some people here [emoji28]
 
The power of the private sector in Kenya
FB_IMG_16883820292720853.jpg
FB_IMG_16883827116928801.jpg
FB_IMG_16883827972444127.jpg
 
Eti nifuatilie news za Tanzania ndo nipate kiti cha kuwakosoa [emoji23][emoji23].. how old are some people here [emoji28]
Hahahaha, hupaswi kufuatilia kitu, yaani ukiingia to YouTube Kila kitu linakuonyesha, Tanzania ni kuhusu mjadala wa bandari, Kenya ni kuhusu "Financial bill, fuel prices, EPRA, njaa, ajali, Alshabaab attacks, na fujo za Kila aina.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]

Back
Top Bottom