ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Achia jaluo madaraka tuone kweli hamuna tribalism 😅😅😅Ukabila unakuharibu namna gani? am very prpud of my tribe heritage amd culture mimi sio mtumwa wa CCM kama wadanganyika.
Only Damganyikans are not proud of their tribes [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tribalism ndio inatafuna nyama zenu ndani kwa ndani leo ukienda kuchungulia serrkali utakuta imejaa kikuyu na kalenjin viongozi wote kwenye sector nyeti wapo kikuyu na kalenjin kama unabisha sema?😅😅😅