Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ukiwa hujatoka nje ya Kunyaland unafikiri dunia inazunguka hapo Ukunyani! sasa unataka kusema hii area inapita some areas in SA? Unajua Gauteng rural area inakaaje? Western Cape Province?
 
Tuendelee kuwekeza kwenye elimu...muda utafika tutakua wakimataifa kwenye kila idara

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Mm nawatesa sana Wakenya kule you tube, nawapiga kwa facts na hakuna kitu wananifanya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Amazing Kisumu .[emoji108]
FB_IMG_1688319889947.jpg
 
Iyo per Capita ni ya aibu sana even if ni 2013.

Nchi zingine zikichezea over 50k!!! Especially jirAni zake wa north.
Umeona national debt kwanza furahia na hilo from 78% to 8% unafkiri mchezo chizi wewe😅
 
Back
Top Bottom