Niwape viwango vya Highridge Nairobi. Wakitaka kulinganisha waje na viwango kama hivi.[emoji28] jamaa hata haoni aibu
Niwape viwango vya Highridge Nairobi. Wakitaka kulinganisha waje na viwango kama hivi.[emoji28] jamaa hata haoni aibu
Asante kwa render 👏👏👏🤣🤣🤣The power of the private sector in KenyaView attachment 2677183View attachment 2677184View attachment 2677185
The true meaning of serenity si upuzi huyo anapostVipi kupost vitu ovyo kama hizi!?
Estates in Nairobi.
Hapa nilipofika sasa utasikia Mitanzania,.... hizo Estate wanakaa Wazungu.... Asante mkoloni.... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2677514View attachment 2677515View attachment 2677516View attachment 2677517View attachment 2677518View attachment 2677519View attachment 2677520View attachment 2677521View attachment 2677522
Hizi miradi zipo under construction na picha zimekuwaposted hapaAsante kwa render [emoji122][emoji122][emoji122][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dodoma alone ina miradi mingi na ghali kuliko kenya mzima 😅😅😅😅 kama unabisha sema ??Kisumu nayo inatamaa yakuichia Dodoma kwa mbali, miradi inapigwa usiku na mchana.
View attachment 2677560
Zimekuwa posted na nani?? 😅😅😅😅Hizi miradi zipo under construction na picha zimekuwaposted hapa
Kumbe behewa zenyewe ni Secondhand!? Duuh. Hilo kando, inapendeza.
Aah, bana, acha kujitekenya mwenyewe.Dodoma alone ina miradi mingi na ghali kuliko kenya mzima 😅😅😅😅 kama unabisha sema ??
Nenda muandamane mupunguze gharama za maisha walau watu wale milo mitatu wengine wasife njaa 😅😅😅😅Hizi miradi zipo under construction na picha zimekuwaposted hapa
Hata hii ya Mombasa walimaza, wameenda second phaseHizi miradi zipo under construction na picha zimekuwaposted hapa
Kama unabisha we sema tu hata usiogope😅Aah, bana, acha kujitekenya mwenyewe.
Iko wapi hio second phase 😅😅😅😅Hata hii ya Mombasa walimaza, wameenda second phase
Nenda muandamane mupunguze gharama za maisha walau watu wale milo mitatu wengine wasife njaa 😅😅😅😅
Zimetoka germany na zimekua refubrished na kuleta hali ya upya kwa asilimia zaidi ya 85Kumbe behewa zenyewe ni Secondhand!? Duuh. Hilo kando, inapendeza.
Nabisha, hebu jitanue tuone sasa!Kama unabisha we sema tu hata usiogope😅
Haya orodhesha miradi ya kenya nzima na thamani yake nikupe miradi miwili tu ya dodoma ukalale sasa hvi 😅😅😅😅Nabisha, hebu jitanue tuone sasa!