joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Unaeza kuta hatoki lakini kwa vile anabishana na mtanzania basi yuko tayar atetee japo moyoni anaumia sana 😅😅😅Na unaweza kukuta huyo unayejibishana naye anatokea kwenye moja ya hizo kabila mbili🤣🤣
ata USA wametawaliwa na clinton family na bush family kwa muda, but bado ni the father of democracy duniani..sasa na Tanzania ni chama kimoja kama North Korea utasema nini?Viongozi wenu ni walewale wakiona jina la chama ambacho wako nacho madaraka halipendwi Wanabadili jina la chama na kurudi madarakani kwa jina tofauti ili kuwahadaa tu wakenya wapinzani wa Kenya wa muda wote ni familia ya odinga toka enzi za baba yake nae Sasa anazeeka Sasa niambie lini odinga aliingia madarakani?
Yani uhuroto wameiharibu Kenya kwa ufisadi na wizi kwa jina la jubilee Wanabadili majina na kujiita jina jingine na kujifanya hawahusiki na ufisadi wa awamu iliyopita hiyo Si hadaa?
Hata uchaguzi ujao chama cha UDA kikichafuka ruto atabadili jina la chama na kuwahadaa wakenya kwamba yeye hahusiki na uchafu wa UDA na wakenya walivyo mazezeta watapiga makofi hao ndio magansta wa Kikuyu na kalenjini walivyoigeuza Kenya shamba lao
Obama je? Trump je? Biden je? 😅😅😅 musipende kujifananisha na USA kwenye kila kitu punguzeni ujinga huu utawamalizaata USA wametawaliwa na clinton family na bush family kwa muda, but bado ni the father of democracy duniani..sasa na Tanzania ni chama kimoja kama North Korea utasema nini?
trump babake alikua tajiri USA, Obama babake ni Mkenya, Biden amekua kwa serikali tangu 1970s kama senator.. sasa Danganyika ni CCM kama North KoreaObama je? Trump je? Biden je? [emoji28][emoji28][emoji28] musipende kujifananisha na USA kwenye kila kitu punguzeni ujinga huu utawamaliza
Some Nairobi Estates.
Something I have learnt about DAR is that, it has no Real Townhouses, a few good apartments, a few bungalows, 4 government towers and Uswazi!!!
Kama wanabishana, walete mtaa kama huu
View attachment 2676889View attachment 2676890View attachment 2676891View attachment 2676892View attachment 2676893View attachment 2676895View attachment 2676896View attachment 2676898View attachment 2676899
Hujanijibu swali nililokuuliza wanatoka kabila moja au ukoo mmoja?? 😅😅😅😅trump babake alikua tajiri USA, Obama babake ni Mkenya, Biden amekua kwa serikali tangu 1970s kama senator.. sasa Danganyika ni CCM kama North Korea
isipokua Obama all other ni white Americans kutoka Europe ireland.Hujanijibu swali nililokuuliza wanatoka kabila moja au ukoo mmoja?? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mbona Tanzania mnatawaliwa na CCM tangu Uhuru?Hujanijibu swali nililokuuliza wanatoka kabila moja au ukoo mmoja?? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
CCM ni chama sio kabila kenge wewe marais wa tanzania wote wametoka kwenye makabila tofaut mengine ya mbali kabisa yani kwa lugha fupi huku hatuongelei makabila tunaongelea utanzania 😅😅😅Mbona Tanzania mnatawaliwa na CCM tangu Uhuru?
Lakini rais lazima atoke kwa chama kimoja tangu uhuru CCM kama North Korea [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Hiyo inaitwa Dictatorship kwa lugha ya English ambayo najua wadanganyika wengi hamuelewiCCM ni chama sio kabila kenge wewe marais wa tanzania wote wametoka kwenye makabila tofaut mengine ya mbali kabisa yani kwa lugha fupi huku hatuongelei makabila tunaongelea utanzania [emoji28][emoji28][emoji28]
Ukitaka kua rais Danganyika ata kama una Kabila lote nyuma yako huwezi hadi ulambe matako ya CCM tangu 1960... what a failed coumtry. in developed countries kama kenya na USA its the numbers that matter.CCM ni chama sio kabila kenge wewe marais wa tanzania wote wametoka kwenye makabila tofaut mengine ya mbali kabisa yani kwa lugha fupi huku hatuongelei makabila tunaongelea utanzania [emoji28][emoji28][emoji28]
Sio ispokua wenzako huko USA hawazungumzii makabila ndio maana unaona yoyote anaeza kua rais wa america na wengi wanatoka kwenye makabila tofautisipokua Obama all other ni white Americans kutoka Europe ireland.
Nyinyi ukabila umewaharibu mpaka akili zenu ndio maana munawaza kama CCM ni kabila 😅😅😅😅😅Ukitaka kua rais Danganyika ata kama una Kabila lote nyuma yako huwezi hadi ulambe matako ya CCM tangu 1960... what a failed coumtry. in developed countries kama kenya na USA its the numbers that matter.
Ukabila unakuharibu namna gani? am very prpud of my tribe heritage amd culture mimi sio mtumwa wa CCM kama wadanganyika.Nyinyi ukabila umewaharibu mpaka akili zenu ndio maana munawaza kama CCM ni kabila [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Huku hakuna kitu kinaitwa ukabila mtu yoyote anagombania urais kabila lolote wala hakuna sijui kikuyu na kalenjin pekee ndio wawe marais no way [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dictatorship ni ile rais anatoka kwenye kabila hilo hilo 😅😅😅😅 mbona hatuoni makabila mengine kenya wakishika madaraka zaidi ya kikuyu na kalenjin ambao ni wale wale tuLakini rais lazima atoke kwa chama kimoja tangu uhuru CCM kama North Korea [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Hiyo inaitwa Dictatorship kwa lugha ya English ambayo najua wadanganyika wengi hamuelewi