Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimeiona mkuu my hometown Tanga imeshika namba tatu.. Mbeya haipo kwenye list 🤣🤣.. but yo ukweli ni kwamba Arusha city center haiwezani kabisa na Mwanza city center.. Mwanza katikati ya jiji lao kuna gorofa nyingi and them streets are so clean, leo nilikua nazunguka Mwanza mjini mpaka nikahisi nipo DAR tu .. Mwanza imejemgwa asee.. inawezekana takwimu ni za mkoa mzima labda ndio mana mwanza imeachwa since wilaya za Mwanza ni vijiji tu ga magorofa
Mwanza outside Nyamagana na Ilemela ni hamna kitu wilaya zilizobaki ghorofa ni kubahatisha
 
Dar es salaam the city that never sleeps.

FB_IMG_1688139709621.jpg
 
Huu ujinga Tanzania tusije kuiga,unakwamishwa maendelea ya Nchi Kwa kisingizio Cha Utawala Bora.

Kwa nini wasizuie specific areas zinazolalamikiwa badala ya kupiga chini total finance Bill?


Wakunya mtamuua huyo Nabii wenu fake
 
Back
Top Bottom