The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Ndiyo NK ipo huru kisiasa kama Tz, hutaki?NORTH KOREA!!!!!REALLY....
Ndiyo NK ipo huru kisiasa kama Tz, hutaki?NORTH KOREA!!!!!REALLY....
Mwezi May nilikuwa Mwanza sikuona hata dalili ya hiyo Hotel kukamilishwa ila waikamilishe itakuwa nzuri sana..My second home .. huu upande wa Mwanza huwa hauonyeshwagi kabisaView attachment 2674217View attachment 2674221hii hotel hapa naona kama ujenzi wake umerejea/ume resume.. picha nimepiga kutokea Mwaloni Kirumba.. View attachment 2674225the second most developed city along lake Victoria
Parade la Gor Mahia katikati ya Nairobi kusherehekea ubingwa wao.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Me nakwambiaje kuna vitu me mwenyewe nashangaa tayari vipo, Dar yamoto sana mkuu, BRT ishakuwa jambo la kawaida zitawekwa mpaka mitaani, tumshukuru sana Magufuli mana alitufumbua macho kwamba inawezekana. Two years from today hakutakuwa na ufanano tena baina ya Tz na nchi nyingine za EA, mm siku hizi nawafumua Wakenya kule twitter na you tube ninavyotaka na hakuna kitu wananifanya, soon tutaanza battle na SA mana hawa wanuka mavi hatuwezani.Kwa hiyo dar yote inapigwa BRT leo wanasaini mikataba including daraja la jangwani
Dar baada ya miaka minne miundombinu itakua hatari sana





Mkuu mheshimu sana Distinguished Professor of Law in East AfricaAliyekwambia kwamba Akina Shivji,Lisu,Lema,Slaaa ndio wanastahili kufikiria Kwa niamba ya Watanzania wote ni nani?
Kwenye hii angle ya Bandari wanazingua,hao ni Wajamaa sidhani kama Wana jipya tena Kwa umri wao..
Hofu ya mabadiliko, haiwezekani Serikali imesema interests za Watzn zimezingatiwa ila hao Wajamaa wao Kila kitu wanapinga..
Mambo yenye shaka watayaona kwenye utekelezaji, makubaliano sio mkataba Wala hauna msingi wa kisheria..
Dunia haijapata Maendelea Kwa sababu ya watu waliokariri mavitabu,mara nyingi they can't think outside ya hiyo scope Yao,uko wa challenge wanatumia ego Yao kudhani wako good kumbe wengi wao ni wajinga tuu..Mkuu mheshimu sana Distinguished Professor of Law in East Africa
umeona sensa ya maghorofa?
Parade la Gor Mahia katikati ya Nairobi kusherehekea ubingwa wao.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hatari sana***** njia nane soon ubungo hadi morogoro
Nimeiona mkuu my hometown Tanga imeshika namba tatu.. Mbeya haipo kwenye list 🤣🤣.. but yo ukweli ni kwamba Arusha city center haiwezani kabisa na Mwanza city center.. Mwanza katikati ya jiji lao kuna gorofa nyingi and them streets are so clean, leo nilikua nazunguka Mwanza mjini mpaka nikahisi nipo DAR tu .. Mwanza imejemgwa asee.. inawezekana takwimu ni za mkoa mzima labda ndio mana mwanza imeachwa since wilaya za Mwanza ni vijiji tu hazina magorofaumeona sensa ya maghorofa?