Kumbe huu ujinga wa "political cut throat behaviour, instability, corruption, tribalism and ethnicity, zinaanzia mashuleni kwenu.Cheki vile campaign ya university students inafanywa Nairobi
Kunyaland sijaona kwenye list Kwani Kuna tatizo mahala? 😂😂
Siku ukionionesha street level kama hzi mombasa na kisumu nitag nifunge acc 😅😅Kisumu, Tz nzima nipe mji!! Hata Dar haiwezi pata Street levels kama hizi
View attachment 2673687View attachment 2673688View attachment 2673689
View attachment 2673690View attachment 2673691View attachment 2673692
Cheki vile campaign ya university students inafanywa Nairobi
Ndio kwan ww north korea unaichukuliaje au zile propaganda za wazungu kuhusu north korea ndizo zinakuchanganya??😅😅😅😅NORTH KOREA!!!!!REALLY....
no greenery....ugly shitBeautiful Dar es salaamView attachment 2673850View attachment 2673851
Kwa viwango hivi, Kenya isahau maendeleo kabisaaa, ni uchumi wa kulipa mishahara ya Wanasiasa.Utajiri kenya sharti ni moja tu uwe mwanasiasa muongo na mwizi nje ya hapo mpaka dunia itasmama hutajiriki
Na bila kua mwanasiasa mwizi na muongo hakuna utajiri kenya 😅😅😅😅Kwa viwango hivi, Kenya isahau maendeleo kabisaaa, ni uchumi wa kulipa mishahara ya Wanasiasa.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kijana leo umetoa habari nzuri sanaWatu tunasaini miradi mingine ya BRT wengine bei ya mafuta na NHIF inapanda leo
Nye nye nye
Hali ya uchumi Kama hii, bado unalipa madiwani mishahara ya Tshs 2M kwa mwezi, Kweli?Na bila kua mwanasiasa mwizi na muongo hakuna utajiri kenya
Asilimia 98% matajiri ni wanasiasa kenya