Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Just look at the top photo…🤣🤣🤣Dar best part ( downtown) ni size ya Westlands, walahi…
Don't dare Bro, posta is several times bigger than your CBD. Sasa ndio uchanganye pamoja posta+Upanga+ Kariakoo 🤣🤣 Ni balaa
 
China is definitely modern… but let’s not forget America built their systems when Chinese were living in muddy villages…..if you study American politics you would know such massive public mass transit projects are held off by the energy lobby …. America is a Highway system nation ( best in the world)where private cars are the order of the day… it’s all about the oil business…too much oil dollars at stake… what’s the population of China versus the USA, yet America is the largest oil consumer on the planet…..expect this to change once Americans switch to electrical vehicles in a big way…
Kwenye uchumi china ana apply sera zote mbili capitalism and socialism lakini mostly kwenye masuala ya provision of social services mchina huko anatumia ujamaa ndio mana public transportation systems karibu zote ni mali ya serikali, miradi mingi karibu kila sector ni mali ya serikali na ndio mana maisha ni mazuri zaidi kwa kila raia china kuliko US .. watu waliofika huko wanaeleza .. pitia hii Shenzhen metro system it has 300+ subway stations 👇. While capitalism+democracy pia ime prove failure big time. Check out huu mradi ume stuck for over 15 years in California 👇carlfonia high speed rail . Ambapo ni stori tofauti kabisa ukilinganisha na mtandao wa HSR wa china where socialism is applied kutoka 2008-2023 tu china kupitia socialism wameweza kujenga mtandao wa HSR than the rest of the world combined together 👇. Kupitia pia socialism China amefenya miradi kama china poverty elevation ambopo big number ya watu sahii wanaishi vizur tu . Hakuna homeless people in china Bro .. . Socialism impact
 
Upuuzi upuuzi tu mwaka wa sita huu tupo humu kila siku mnapost vipicha hivi hivi tu wakati sisi tunapost mambo mapya, tukiwaambia tumewazidi mnalia.
You see, you see this!? A new city forming right here. Don't pretend you don't want to see!!!
Screenshot_2023-06-27-00-35-00-60_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
😁😁😁😁 Sasa Ukiwa maskini na ujamaa wako utawasaidiaje watu?

Ujamaa ni umaskini, ubepari ni hela inakupa chance ya kusaidia watu,kama unadhani na kudanganya nenda kagombee ubunge Kwa kutegemea mdomo uwe unaitwa sera na mwenzio awe anatoa mpunga harafu utaleta mrejesho..

Mkono mtupu haulambwi.
Ubepari na unyonyaji, vinaendana.

Wengi mnaoshabikla sana ubepari mnaangalia upande mmoja wa shilingi, yaani matokeo. Kisichoosemwa ni nguvu kubwa ya unyonyaji na ulaghai unaotokea kwenye huo ubepari. Watu wa the global south (Asia, Afrika na Amerika ya kusini) kwa sasa hamuwezi kuwa mabepari kwasababu hamna ubavu wa kuwanyonya watu wa North.

Jinsi ubepari unavyofanya kazi ni kuhakikisha anayenyonywa hapati ahuweni, analazimishwa kukopa ili aendelee kuwa tegemezi.

Samia juzi alilazimwishwa kukopa deni la chanjo za sumu (corona) ambazo hata hazikuhitajika halafu anakuja kuwaumiza wananchi wake tozo ili kulipa deni hilo. Sasa wewe mwafrika mbepari unaubavu gani wa kulazimisha nchi za north wanunue bidhaa wasiyoihitaji ili wakukope na wewe utajirike?
 
China is definitely modern… but let’s not forget America built their systems when Chinese were living in muddy villages…..if you study American politics you would know such massive public mass transit projects are held off by the energy lobby …. America is a Highway system nation ( best in the world)where private cars are the order of the day… it’s all about the oil business…too much oil dollars at stake… what’s the population of China versus the USA, yet America is the largest oil consumer on the planet…..expect this to change once Americans switch to electrical vehicles in a big way…
Huku huna cha kuitetea marekani mzee 🤣🤣 china ndio nchi yenye mtandao mkubwa wa barabara kuliko nchi yoyote duniani.. marekani ni taifa lililofeli usilotolee mifano kabisa kwenye maendeleo ya dunia ya leo
 
There are 1.5 billion people in China whereas the US population is about 340 million…. That’s 4 times more for China… yet the US consumes 20 million barrels of oil daily as opposed to 12 million for China….. that’s too much money at stake for American oil companies…. Every time a mass transit project is proposed in Congress, it dies in the committee stage…. Most States need federal dollars to pull such gazillion projects…ain’t happening any time soon…Welcome to lobby politics 101….
 
China population is 1.3b wacha kudanganya
 
Huku huna cha kuitetea marekani mzee 🤣🤣 china ndio nchi yenye mtandao mkubwa wa barabara kuliko nchi yoyote duniani.. marekani ni taifa lililofeli usilotolee mifano kabisa kwenye maendeleo ya dunia ya leo
Na china ndio nchi yenye mtandao mkubwa wa modern rail on planet

We muulize tu kenya pamoja ni pure capitalist country 60yrs wamefika wapi?😅
Pamoja kua walijitenga na kutosaidia uhuru wa nchi za africa na wakajikita na biashara na ukabila wa kibeberu wamefika wapi?? Tulitegemea wawe sawa na Singapore coz hawakua na msaada wowote kwa nchi za africa zaidi ya ubinafsi

Sasa muulize mwalimu wa math wamefika wapi atakujibu😅😅😅😅😅😅
 
There are 1.5 billion people in China whereas the US population is about 340 million…. That’s 4 times more for China… yet the US consumes 20 million barrels of oil daily as opposed to 12 million for China….. that’s too much money at stake for American oil companies…. Every time a mass transit project is proposed in Congress, it dies in the committee stage…. Most States need federal dollars to pull such gazillion projects…ain’t happening any time soon…Welcome to lobby politics 101….
US haina hela mzee .. sahii hata ukitaka ulinganishe chochote ukiachana na matumizi ya mafuta utakuta kitu US ipo mbele ya china ni military budget pekee. Hata hivyo namba kubwa ya kampuni za magari sahii china ni gari za umeme and that's the reason they are not that much in oil consumption.. Shenzhen leads the way 👇. Imagine mji wenye watu zaidi ya 13 million
 
Back
Top Bottom