Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,300
- 33,628
Tumewakomesha Wakunya,kamwe hamtaiona Chai yetu kwenye mnada wa Mombasa
View attachment 2670053
Ni kitu cha kupongezwa sana,vingi ninavyoviomba tuvifanye naona vinatekelezwa,atcl now inapiga route za naipori,mahindi kunyan wanunue kama foreigner imetiki,now kwenye kahawa na chai tunawapiga,siku yake naombe CRDB ienee kundustan yote,piga spana hawa mbwa za kutosha