Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 33,880
- 32,656
Wivu tu umekujaa wewe nyang'au; hamna cha uhuru wala nini hapo.🤣🤣Vitu uhuru alifanya 2016 ndio mnapambana nayo sahii!!!!
Wivu tu umekujaa wewe nyang'au; hamna cha uhuru wala nini hapo.🤣🤣Vitu uhuru alifanya 2016 ndio mnapambana nayo sahii!!!!
Hizi za inter counties ninyi mnazitoaga wapi? View attachment 2669647
. Ni jalala.Ndio zinatoka nairobi kwenda nakuru zingine naivasha zingine eldoret kuna zingine mpaka kisumu etc 😅😅😅😅Ndio mabasi yao ya mikoani
Ila mindset ya capitalism mbaya sana,yan utamkuta mkunya kachoka,mlo m1 kwa siku na analala kwenye slum ila bado anaamini nchi yake ni tajiri na watu wana maisha mazuri kuliko nchi jirani na kundustanHivi vitu ni zaidi ya upeo wako mzee! Kuna nchi jirani inaitwa Kunyaland tangu imepata Uhuru imejipambanua Capitalist! Ila ni maskini wa kutupwa! serikali yao haiwezi kulipa mishahara miaka 60 baada ya uhuru na inaugua ugonjwa wa njaa tangu Uhuru miaka nenda miaka rudi!
Yo we jamaa 🤣🤣 unajua Tanga kule tunakuaga na categories ya hizi gari .. kuna vipanki na dungu, hizi za kenya ni vipanya 🤣🤣🤣 dungu be like this👇
Picha za 2013!!!Hizi za inter counties ninyi mnazitoaga wapi? View attachment 2669647
Utaaibishwa 🤣🤣 kubaliana na ukweli then move on . Kwanini unataka kuongea uongo.? Haujui kama watanzania humu jf wanakuja huko kwenu kama chooni.?Picha za 2013!!!
Sahiii Kenya yote ni Hiece tupu.
Hiyo picha ukionyesha mbongo humu umuulize jiji gani hili hakuna mwenye atajua hapo ni Nairobi. Watadhani ni huko Asia.Look at South C!!! Growing like nobodies business!!! Westy should watch out!!
View attachment 2669694
Number plates za KA_ Zilitumika lini mwisho!!! 2007!! Ebu confirm this hizi number plates zao, infant east Africa Hiece zote zinajengewa Nairobi.
Jana nimekutana na Mcongo nikamuuliza unaenda wapi akasema mm ni mkongo naishi Kivu kule tunapolindwa na jeshi lenu, nikamuuliza kiuchokozi huko pia askari wa Kenya si wapo? Akasema askari wa Kenya hamna kitu wanafanya kule ni ujanja ujanja tu na uhuni, nikacheka sanaMko mnajisifia jeshi lenu hapa ....
Jeshi linaloshindwa kulinda raia wake ndo litaweza hata kulinda mipaka yake....
KENYA IS THE FAILED STATEView attachment 2669606






Haya mambo Kenya watapata kizazi cha kumi mpaka hawa wapumbavu wa sasa hivi wafe wote waje kizazi cha kumi na hapo hapo wakubali kujifunza toka kwa kizazi cha Tz ndiyo watapata vitu hivi ila kama wataendelea kama ilivyo sasa wasahau.