Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Africa Kwa mda mrefu ilikuwa imekumbatia Itikadi za kimaskini za Kijamaa so itahitaji mda kutoka huko,just imagine mtu anatamani aajiwriwe na Serikali Kwa salary ya 500k lakini akaacha kazi yake anayofanya eg ufugaji hata kama ulikuwa unampa mapato makubwa kuliko salary..

Kuondoa mawazo ya hivi itachukua mda Africa in particular
 
China ni mjamaa wa kwenye siasa sio kwenye Uchumi
Kwenye uchumi china ana apply sera zote mbili capitalism and socialism lakini mostly kwenye masuala ya provision of social services mchina huko anatumia ujamaa ndio mana public transportation systems karibu zote ni mali ya serikali, miradi mingi karibu kila sector ni mali ya serikali na ndio mana maisha ni mazuri zaidi kwa kila raia china kuliko US .. watu waliofika huko wanaeleza .. pitia hii Shenzhen metro system it has 300+ subway stations 👇. While capitalism+democracy pia ime prove failure big time. Check out huu mradi ume stuck for over 15 years in California 👇carlfonia high speed rail . Ambapo ni stori tofauti kabisa ukilinganisha na mtandao wa HSR wa china where socialism is applied kutoka 2008-2023 tu china kupitia socialism wameweza kujenga mtandao wa HSR than the rest of the world combined together 👇. Kupitia pia socialism China amefenya miradi kama china poverty elevation ambopo big number ya watu sahii wanaishi vizur tu . Hakuna homeless people in china Bro .. . Socialism impact
 
Hivi vitu ni zaidi ya upeo wako mzee! Kuna nchi jirani inaitwa Kunyaland tangu imepata Uhuru imejipambanua Capitalist! Ila ni maskini wa kutupwa! serikali yao haiwezi kulipa mishahara miaka 60 baada ya uhuru na inaugua ugonjwa wa njaa tangu Uhuru miaka nenda miaka rudi!

Hapa ume mquote ChoiceVariable au babayao255?
 
Africa Kwa mda mrefu ilikuwa imekumbatia Itikadi za kimaskini za Kijamaa so itahitaji mda kutoka huko,just imagine mtu anatamani aajiwriwe na Serikali Kwa salary ya 500k lakini akaacha kazi yake anayofanya eg ufugaji hata kama ulikuwa unampa mapato makubwa kuliko salary..

Kuondoa mawazo ya hivi itachukua mda Africa in particular

Hizo nchi zilizo kumbatia capitalism Africa ziko wapi?
Mbona zina matatizo yale yale tena zaidi ya nchi zilizokumbatia socialism!
 
Wapumbavu wanalinganisha na Mombasa

20230626_170029.jpg
20230626_170026.jpg
20230626_170017.jpg
 
Back
Top Bottom