Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You keep saying government imeshindwa kulipa salaries, lete evidence kuonesha the problem still persists. This was a one time problem ambayo ilkua sorted. Which social services tumeshindwa kuprovide?? Dwindling exports, below par tax collections, unasema tu vitu huna ufahamu nazo nikikuambia ulete evidence utaanza kuruka ruka kama kawaida yenu.
Taking loan from fatuma to pay peter hii ni akili au matope 😁😁😁😁
 
Streets of Arusha
IMG-20230625-WA0165.jpg
IMG-20230625-WA0134.jpg
IMG-20230625-WA0075.jpg
IMG-20230625-WA0103.jpg
IMG-20230625-WA0070.jpg
IMG-20230625-WA0124.jpg
IMG-20230625-WA0094.jpg
 
Wivu baada ya kuona mradi mmja tuu utaenda kutuweka Juu ya Kunyaland kwenye size ya GDP
we've heard this overtaking story since 2013 but the gap keeps widening.............Congo also signs such deals but still the poorest of the poorest
 
we've heard this overtaking story since 2013 but the gap keeps widening.............Congo also signs such deals but still the poorest of the poorest
Dalili za kutapatapa,punguza hofu utakufa Kwa kihoro kisa Tanzania
 
Ila mkuu inaonekana wewe ni mbinafsi sana, sidhani kama huwa unasaidia hata watu.
😁😁😁😁 Sasa Ukiwa maskini na ujamaa wako utawasaidiaje watu?

Ujamaa ni umaskini, ubepari ni hela inakupa chance ya kusaidia watu,kama unadhani na kudanganya nenda kagombee ubunge Kwa kutegemea mdomo uwe unaitwa sera na mwenzio awe anatoa mpunga harafu utaleta mrejesho..

Mkono mtupu haulambwi.
 
😁😁😁😁 Sasa Ukiwa maskini na ujamaa wako utawasaidiaje watu?

Ujamaa ni umaskini, ubepari ni hela inakupa chance ya kusaidia watu,kama unadhani na kudanganya nenda kagombee ubunge Kwa kutegemea mdomo uwe unaitwa sera na mwenzio awe anatoa mpunga harafu utaleta mrejesho..

Mkono mtupu haulambwi.
China ni mjamaa na ndio the real world super power
 
C'mon as if ushawahi kuona real estate in Kenya imeslow down. What is happening ni normal real estate cycle occasioned by demand in specific sectors. Saa hii kuna huge demand in residential and mixed developments na ndo zinajengwa kwa kasi. Ukiangalia kwenye sectors zingine kama retail na office space kuna slow down kwasababu ya oversurply, ndo maana malls hazijengwi kwa pace iliokuwa hapo nyuma
Kenya is a true free market capitalism system…. Just like the developed world…. We will get there some day…. And that’s what these Bongolalas never understand since they have to wait for their government to do everything for them… show me in major project in Bongo that is true private enterprise….hakuna!…a while ago they didn’t even know what is PPP… some were here arguing against it…. Now I see their government is doing initiative on it… they now like it… similar to apartment buildings…. They were dormitories till they started building, now it’s a cool thing… I don’t even know why we waste time with these fools…🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom