LightYagami
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,825
- 1,493
Hii ata si render, imechrwa lolTerminal 3 dar es salaam
View attachment 624110
Hii ata si render, imechrwa lolTerminal 3 dar es salaam
View attachment 624110
This is quality, alafu mtu anacompare na diamond karangas, hahaha hizo haziwezi make it hereunajua tropical heat nini ama kutapa tapa?![]()
hii hapa nikusaidie angalau![]()
jaribu kufananisha na zile karanga za diamond zilizoungua kwa pakiti za Royco mchuzi mix![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hio place shida ni ranchers. Kenyan whites wako na mashamba makubwa sana huko na wamekuwa in conflict na Wamasai na Wasamburu. Kuna wakati some white guy was killed na another rich woman, Kuki Gulliman shot. I guess these rich white ranchers ndio wanalipa polisi wauwe hao mifugo. Lakini this is political because some Maasai MP alikuwa ana incite Wamaasai waingie kwa mashamba ya wazungu hao forcefully and bringing tribal(racial) isht in the area. Those Maasai I guess want the whites gone but sioni those whites going anywhere coz most of them wameishi hapo for generations, guess late 1800 na early 1900s. But they own huge chunks of land which is not good to the locals. But as long as one has the Kenyan citizenship dont care the colour ama religion ama whatever hafai kuwa anaharrasiwa, this is the 21st century.wakati tunailaani serikali ya Tz kwa kuchoma kwa moto vifaranga vya kuku vinavyodaiwa kutoka kenya,huko laikipia kenya,jeshi polisi linalaumiwa kwa kuuwa kwa risasi takribani ngo'mbe mia tatu(300) toka katika jamii ya wamasai.
inadaiwa ng'ombe hao waliingia katika lunch inayomilikiwa na mtu binafsi na hukumu pekee iliyowafaa ni kuwachapa risasi ili wafe.
picha na screenshot hapa chini zinaelezea tukio hilo kwa upana zaidi.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
NB:
ifahamike kuwa mapande makubwa ya ardhi huko kenya yanamilikiwa na matajiri wachache.
hali hiyo hupelekea wafugaji wa kimasai kukosa maeneo ya kurisha mifugo yao na hatimaye hurisha katika Ranchi za watu binafsi au huvuka boda na mifugo yao na kuingia tz upande wa namanga ambako marisho ya mifugo ni mengi na hayamilikiwi na watu binafsi.
Naondoka kiukweliOndoka Tabora kwenye Vumbi haraka
uje jijini
I heard they said the the cows were shot in crossfire since the herders were using the cows as cover. I have a 2 questionsHio place shida ni ranchers. Kenyan whites wako na mashamba makubwa sana huko na wamekuwa in conflict na Wamasai na Wasamburu. Kuna wakati some white guy was killed na another rich woman, Kuki Gulliman shot. I guess these rich white ranchers ndio wanalipa polisi wauwe hao mifugo. Lakini this is political because some Maasai MP alikuwa ana incite Wamaasai waingie kwa mashamba ya wazungu hao forcefully and bringing tribal(racial) isht in the area. Those Maasai I guess want the whites gone but sioni those whites going anywhere coz most of them wameishi hapo for generations, guess late 1800 na early 1900s. But they own huge chunks of land which is not good to the locals. But as long as one has the Kenyan citizenship dont care the colour ama religion ama whatever hafai kuwa anaharrasiwa, this is the 21st century.
safi sana...naona mjadala wa diamond karanga bado una-trend...This is quality, alafu mtu anacompare na diamond karangas, hahaha hizo haziwezi make it here

there were no bullets used. the cows were killed by a concussion bomb.I heard they said the the cows were shot in crossfire since the herders were using the cows as cover. I have a 2 questions
1. Herders are known to die for their herd but this one's chose to hide behind their herd could it be the police were trying butcher the herder instead.
2. Going by the crossfire story. Then Over 400 bullets fired and non hit the target! If its not a cover story then this people need target practice ASAP.
Sijawai ona ikitrendsafi sana...naona mjadala wa diamond karanga bado una-trend...![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
tangu juzi mpo hapa mkitoa povu kuhusu diamond karanga kupatikana kenya....the more you keep discussing about it the popular it become.Sijawai ona ikitrend

asante kwa ufananuzi maridhawa.Hio place shida ni ranchers. Kenyan whites wako na mashamba makubwa sana huko na wamekuwa in conflict na Wamasai na Wasamburu. Kuna wakati some white guy was killed na another rich woman, Kuki Gulliman shot. I guess these rich white ranchers ndio wanalipa polisi wauwe hao mifugo. Lakini this is political because some Maasai MP alikuwa ana incite Wamaasai waingie kwa mashamba ya wazungu hao forcefully and bringing tribal(racial) isht in the area. Those Maasai I guess want the whites gone but sioni those whites going anywhere coz most of them wameishi hapo for generations, guess late 1800 na early 1900s. But they own huge chunks of land which is not good to the locals. But as long as one has the Kenyan citizenship dont care the colour ama religion ama whatever hafai kuwa anaharrasiwa, this is the 21st century.
Ikitrend wapi??? Izo cheap PR zinakuvako...tangu juzi mpo hapa mkitoa povu kuhusu diamond karanga kupatikana kenya....the more you keep discussing about it the popular it become.
huko ndio ku-trend kwenyewe ninakomainisha.
diamond karanga tibim(in babu uwino voice)
![]()
![]()
![]()
Kibera is utterly filthy shithole that I have ever seen .Beleive me It doesn't come close even to ManzeseNALIAMSHA DUDE:
types of photos they will never show us:
unfortunately this is how some white guys on instagram show to the world the image of kibera.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
😀😀😀😀 Zile sifa zakujitangazia uongo zimeisha dunia ishabadilikaSo what??? Wewe ni mtanzania inakuhusu nini...umbeya mwapenda
Hio ndio julius nyerere internationa airport terminal 3 under construction very soon itakamilika😀😀😀😀 unataka kuona ujenzi ulipofkia????Hii ata si render, imechrwa lol
mwekee na picha za mkandarasi akiwa site....tz ya sasa chini ya JPM sio ya watu wa porojo....awamu ya porojo aliondoka nayo kikwete.Hio ndio julius nyerere internationa airport terminal 3 under construction very soon itakamilika😀😀😀😀 unataka kuona ujenzi ulipofkia????

Ukweli anaujua ila anataka kubishana coz wivu umemkamata kisawasawa😀😀😀😀mwekee na picha za mkandarasi akiwa site....tz ya sasa chini ya JPM sio ya watu wa porojo....awamu ya porojo aliondoka nayo kikwete.![]()
Haha...yani hadi MP wa kitutu machache mnajua na ata VP wenu sijui😀😀😀😀 Zile sifa zakujitangazia uongo zimeisha dunia ishabadilika