Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hivi wewe unawajua wakurya au unawasikia?...achana kabisa na watu wa jamii ya kikurya...majority of them are born warriors,boldness and braveness is in their blood.
mmasai na jeuri yake yote kwa mkurya anakunja mkia.

kutokana na ujasiri wao wa kiasili,wengi wao,baada ya uhuru wa tz,walipewa fursa ya kujiunga na tpdf(tanzania people's defence force).

utamaduni huo umekuwa ukiendelea mpaka sasa.wakurya wengi wanapenda kulitumikia jeshi na wengi wanaingia jeshini kutokana na asili yao ya kupenda vita.

jaribu kufatilia visa vya ugomvi wa kiasili kati ya wakurya na wamasai huko manyara tz,utajua nazungumzia nini.mkurya ni mtu wa vita.
"vita ni vita mura".

the cousins to kuryas for kenya are kisii.wale wa kisii wa nyamache.hata lugha zao zinafanana....mkurya wa tz na mkisii wa nyamache.

I rest my case......pokots are bad news. you can take that to the bank
 
my friend pokots are bad news......they rival the toposas of Ethiopia and south Sudan. each one of them owns a rifle.......
Without rifles they are nothing! The kurya people are very dangerous, they never use rifles since they abide to the laws of the country, (though most of them knw how to fire) but when agitated, their show is perfect!
 
nchi LDC yenye uchumi mdogo kama wenu utatawala mighty Kenya kivipi ......hahaha. Wewe enda Churchill show auditions
emoji23.png
emoji23.png
 
So mkuria na mkisii wakiongea wanaelewana kabisa?
i do think so b'se the day i visited nyamache,my host told me there is a relationship between kuryas of tanzania and some families in kisii community.
 
I rest my case......pokots are bad news. you can take that to the bank
tofauti ya pekee ya mpokot na mkurya ni elimu,mkurya licha ya kwamba ni mtu wa vita,anazingatia sana swala la elimu,wakurya wengi wamesoma.

pokot ni hostile sana na sababu kubwa ya u-hostile wao kukosa education. wengi wao hawajaenda shule...hata watoto wao pia hawafiikirii kuwapeleka shule.wapinzani wakubwa wa pokot ni waturkana na chanzo kikubwa cha ugomvi wao ni wizi wa mifugo.

kuna kisa kimoja nilishawahi kukisumilia hapa jf kuhusu wapokot.leo ninakisumilia tena ila kwa kufupisha.

miaka kadhaa iliyopita mimi na wafanyakazi wenzangu tulikuwa tunasafiri kwa private car toka nairobi kwenda lodwar.ilikuwa ni safari ndefu sana ya takribani masaa 12 hadi 13.pia ilikuwa ni safari ngumu na yenye hofu sana kwangu ukizingatia nilikuwa katika taifa la watu wengine.

tulifika katika mji mmoja unaitwa kitale then baada ya hapo tukaanza very rough road yenye milima na vichaka vingi
mpaka katika mji mwingine unaitwa kapenguria.

tulitahadharishwa tuwe makini sana cos pokot bandits wanateka sana magari na kuzuru au kuuwa watu waliomo kwenye magari hayo.

so njia nzima tulikuwa tuna hofu na kujihami kwa lolote ambalo lingetokea.ila tunashukuru mungu tulifika lodwar salama na baada ya siku kadhaa tulirudi nairobi salama.
 
i do think so b'se the day i visited nyamache,my host told me there is a relationship between kuryas of tanzania and some families in kisii community.
But pia naskia kikuria cha kenya na Tz kuna tofauti kidogo ya accent plus some words wamaasai vilevile
 
tofauti ya pekee ya mpokot na mkurya ni elimu,mkurya licha ya kwamba ni mtu wa vita,anazingatia sana swala la elimu,wakurya wengi wamesoma.

pokot ni hostile sana na sababu kubwa ya u-hostile wao kukosa education. wengi wao hawajaenda shule...hata watoto wao pia hawafiikirii kuwapeleka shule.wapinzani wakubwa wa pokot ni waturkana na chanzo kikubwa cha ugomvi wao ni wizi wa mifugo.

kuna kisa kimoja nilishawahi kukisumilia hapa jf kuhusu wapokot.leo ninakisumilia tena ila kwa kufupisha.

miaka kadhaa iliyopita mimi na wafanyakazi wenzangu tulikuwa tunasafiri kwa private car toka nairobi kwenda lodwar.ilikuwa ni safari ndefu sana ya takribani masaa 12 hadi 13.pia ilikuwa ni safari ngumu na yenye hofu sana kwangu ukizingatia nilikuwa katika taifa la watu wengine.

tulifika katika mji mmoja unaitwa kitale then baada ya hapo tukaanza very rough road yenye milima na vichaka vingi
mpaka katika mji mwingine unaitwa kapenguria.

tulitahadharishwa tuwe makini sana cos pokot bandits wanateka sana magari na kuzuru au kuuwa watu waliomo kwenye magari hayo.

so njia nzima tulikuwa tuna hofu na kujihami kwa lolote ambalo lingetokea.ila tunashukuru mungu tulifika lodwar salama na baada ya siku kadhaa tulirudi nairobi salama.
heee mzee... naona umetembea
 
ndio nakuambia pokots will have no time to reason with you and they are trigger happy.They buy smuggled guns from Uganda through mt elgon area.........and they are all armed with rifles.The late nkaiserry ndio alijuwa kuongea nao na kuwapa amnesty ya kusalimisha bunduki zao
 
mambo ni vipi wakuu....ubize umenikamata sole mbaya nimewamic sana wadau.....nipo nkwenye nchi ya watu....kwaajili ya vitu maalum
 
Hii ni mbaya buda, ndio shida inatokea SA. Hata wale kule walikuwa kwa ile land since 1800. That is inequality, Indeginious wamezaliana hawatoshei, sasa wanakutana na ma foreign settlers wana big chunks of land, lazima kinuke
Yeah hio ndio shida ya Africans, when in Africa they are racist against whites but in Europe or America wanacomplain when they receive racism. But hii yote ni political.
 
Back
Top Bottom