hivi wewe unawajua wakurya au unawasikia?...achana kabisa na watu wa jamii ya kikurya...majority of them are born warriors,boldness and braveness is in their blood.
mmasai na jeuri yake yote kwa mkurya anakunja mkia.
kutokana na ujasiri wao wa kiasili,wengi wao,baada ya uhuru wa tz,walipewa fursa ya kujiunga na tpdf(tanzania people's defence force).
utamaduni huo umekuwa ukiendelea mpaka sasa.wakurya wengi wanapenda kulitumikia jeshi na wengi wanaingia jeshini kutokana na asili yao ya kupenda vita.
jaribu kufatilia visa vya ugomvi wa kiasili kati ya wakurya na wamasai huko manyara tz,utajua nazungumzia nini.mkurya ni mtu wa vita.
"vita ni vita mura".
the cousins to kuryas for kenya are kisii.wale wa kisii wa nyamache.hata lugha zao zinafanana....mkurya wa tz na mkisii wa nyamache.