vitu vya kijinga wakenya hawanunui ndugu....njugu zipo zile za shilingi tano ndio watu hununua...matajiri wanadharau sana hivyo vijiroyco mchuzi mix...Watanunua tu na wananunua andaa tangazo ukalilipie zisiuzwe Kenya. ...andaa kipindi ulipie kwenye national t.v. watu wasinunue izo karanga. ...unless otherwise watanunua na vijana watapata ajira vilevile...
Azijatengenezwa kwa ajili ya kila mtu bro,wapo watakaokula wewe sio mmoja wao nashangaa sana unavyotumia nguvu kubwa kuwaza wataokula ilhali hawatatumia sh 1 yakovitu vya kijinga wakenya hawanunui ndugu....njugu zipo zile za shilingi tano ndio watu hununua...matajiri wanadharau sana hivyo vijiroyco mchuzi mix...
sababu yangu ya kusema karanga zile hazitashamiri Kenya ni kuwa target market yake ni mbaya...ma hustler ndio the best market ila yeye ameshaweka bei juu kidogo...kuna njugu za shilingi tano ambazo ma hustler hutumia...kisha tuje kwa matajiri, matajiri wana dharau sana bidhaa zinazokuja kwa pakiti ndogo ndogo kama vile royco mchuzi mix...Diamond angekuwa mjanja angeweka hizo karanga kwa pakiti hizi...bila shaka angepata wanunuzi toka middle class...just imagine middle class guy anaenda Nakumatt kununua huto tupakiti twa karanga...itakua aibu kwake...Chief naweza kukubaliana na wewe kwamba hizo karanga kwa ma hustler na watu wazima hawatazishobokea kiivyo,,lakini nakuhakikishia kwa watoto wadogo na hata wanafunzi watazilamba sana,na naamini hata watengenezaji walitarget soko la watoto kwani hata kwa huku Bongo hao ndo wateja wakuu,na unajua mtoto akishapenda kitu anavyokuwa king'ang'anizi
Ushauri wangu kwako ni kwamba kama una mtoto/watoto tafadhali usijaribu kumuonjesha/kuwaonjesha.!
Hao wakenya walioviweka kwenye maduka yao hawajui kuwa wakenya hamnunui hivyo vitu?vitu vya kijinga wakenya hawanunui ndugu....njugu zipo zile za shilingi tano ndio watu hununua...matajiri wanadharau sana hivyo vijiroyco mchuzi mix...

ndio wapo watakaokula ila sio wengi....sababu tayari kuna bidhaa kama hio hio zinzazokuja in a better packing, better taste and respectable price...mfano mimi hapa huwa nanunua hiziAzijatengenezwa kwa ajili ya kila mtu bro,wapo watakaokula wewe sio mmoja wao nashangaa sana unavyotumia nguvu kubwa kuwaza wataokula ilhali hawatatumia sh 1 yako
subiri utaona...njugu zipo za shilingi tano na ndio watu hununua...hakuna atakayenunua hivyo vitu vya kijinga...wenye maduka wakimaliza stock hawataitisha stock mpya...Hao wakenya walioviweka kwenye maduka yao hawajui kuwa wakenya hamnunui hivyo vitu?![]()
![]()
![]()
![]()
Nimewah kununua mara moja..mm sio mpenzi wa karanga. ..lakini haziko vibaya zitawafaa zaidi wanaopenda kulakula esp watoto wakitaa...sio ajabu akibadili package akavuta na wengine zaidi kushawishika na kununuandio wapo watakaokula ila sio wengi....sababu tayari kuna bidhaa kama hio hio zinzazokuja in a better packing, better taste and respectable price...
wajaribu na Somalia pia...ma LDC wenzaonjugu za ujinga msituletee.....that's an insult to Kenya. maybe mjaribu Uganda kwa walala hoi wenzenu anaweza penya
akibadili packaging atapata alot of customers...kisha apunguze bei ndio mahustler wanunue...it is not a bad product...it is just a poor marketing strategy...Nimewah kununua mara moja..mm sio mpenzi wa karanga. ..lakini haziko vibaya zitawafaa zaidi wanaopenda kulakula esp watoto wakitaa...sio ajabu akibadili package akavuta na wengine zaidi kushawishika na kununua
Nilichopenda kathubutu...marekebisho yanawezekana kwa 100%...wazungu husema good move!!akibadili packaging atapata alot of customers...kisha apunguze bei ndio mahustler wanunue...it is not a bad product...it is just a poor marketing strategy...
Noma sana, bora bongo tulianzia na socialism, its goodness outweighs the bad.iko hivi mdau,karibia charity organization zote zinazotoa huduma za kijamii katika slum za kenya zinaratibiwa au zinamilikiwa na wazungu.
kwa maana hiyo usishangae kuona picha nyingi za slums za kenya kwenye social media zinawekwa na wazungu badala ya wakenya.wazungu ndio wanaosaidia sana kutoa misaada ya kijamii katika hizo slums kuliko wakenya matajiri.yaani wao ndio wanaoshinda site zaidi kuliko wenyeji.![]()
hope umenielewa ndg yangu.
Ha haa, blaza inaonesha unaonea wivu sana mafanikio ya chalii wa tandale. Kumbe umeshasikiliza hadi latest ngoma yake na morgan heritage.has the cassanova run to south Africa to sing in the hotel bathroom.....Hahaha. Mtu alipata chance ku collabo na Jamaican akaimba tu ujinga. ...heri Willy Paul sasa
Sasa mbona unajipinga, mara hawatanunua, mara wenye nazo stock zikiisha hawaagizi tena!subiri utaona...njugu zipo za shilingi tano na ndio watu hununua...hakuna atakayenunua hivyo vitu vya kijinga...wenye maduka wakimaliza stock hawataitisha stock mpya...
Safi sana Dar imetuliaDar cycle caravan 2017
![]()
Ondoka Tabora kwenye Vumbi harakaSafi sana Dar imetulia
kusema hawatonunua haimaanishi kuwa hakuna hata pakiti moja ya njugu zilizoungua nchini...we vipi? 😀😀😀😀zipo ila chache...we eat tropical heat peanuts not njugu zilizokaaangwa kwa kuni na makaa pale Tandale..😀😀.go search on GoogleSasa mbona unajipinga, mara hawatanunua, mara wenye nazo stock zikiisha hawaagizi tena!
Sasa kama hawanunui hizo stocks zitaishaje? Brother, let the ball roll! Haya mambo ya biashara hayahitaj mabishano
Dont trust huo mtandao..umedeangaya watu dolar imepanda kwenye exhange na tshs hahaKenya has fastest internet speeds in Africa![]()