Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We exported goods worth $824m in uganda alone

Ilikua ni export au in transit? 😅😅😅😅

Ninyi wenyewe saivi mna edible oil and rice import scandals ndio muexport palm oil to Uganda? 😄

Screenshot_20230622-205904.jpg
 
Hayo mengine mtajua wenyewe, sisi tunawapiga na miradi mipya tofauti tofauti alafu tunaachana nayo tunakuja na mingine, gumzo litabaki kwenu. Juzi state house mkalia weee leo station pia mtalia sana, kesho tunakuja na nyingine, mkija kustuka Tz ni USA ndogo
Jamaa wana wivu sana,walijua kufa kwa magufuli itakua nafuu kwao kumbe ni tofauti na roho zao mbaya
 
Wakunya tunakichafua Kila Kona ya Nchi Kwa Sasa Kwa miradi kedekede

Hizo barabara zinazopita mufindi,Iringa vijijini, mqkete na maeneo ya huko,serikali ingeziongezea bajeti kiasi ili zitumike kwenye utalii pia.Unajua hayo maeneo yana mvuto sana,
Huko kuna mashamba ya chai,miti, pareto,n.k. Kama wangeongeza madoido kidogo kwenye kujenga barabara,alafu watendaji wa kata wangepewa mwongozo wa kupima mashamba na makazi ili yalete muonekano wa kiuswisi uswisi,basi hio zone kungefumuka bonge la utalii wa kimandhari.

Fikiria mtu anakatiza toķa Iringa unapita vijijini unashuka hadi unatokea makete mpaka kitulo.ukitaka unaendelea hadi mbambabay.

FB_IMG_16666926164761528.jpg
 
View attachment 2665716
Ila Kitulo ni Ranch ya Serikali chini ya Narco.
 
Mimi sijashauri iharibiwe hio ranchi.

Nasema barabara ijengwe bora zaidi. Wananchi wasimamiwe kwenye uienzi wa makazi,mashamba yaboreshwe labda kwa kuelimisha wananchi namna ya kuendesha kilimo na ufugaji bila kuharibu mvuto wa hayo maeneo.Mfano chai ikalimwa pembezoni mwa barabara na miti ikawa ndani,au miti itakayopandwa jirani na barabara ikawa ya aina fulani ya kuvutia
 
Kuna Barabara saizi imeanza kujengwa ya Makete-Kitulo-Mbeya , mkandarasi Yuko site.
 
Jamaa wana wivu sana,walijua kufa kwa magufuli itakua nafuu kwao kumbe ni tofauti na roho zao mbaya
Magufuli kuna mbegu amepanda ambayo itamea wakati ujao, hawa viongozi wa sasa tuwaache lkn kuna mwamba ataibuka from no where kama Magufuli alivyoibuka from no where kumpigania Nyerere, ndivyo atakavyoinuka mwamba fulani kumpigania Magu.
 
Zambia ni maarufu sana kama Nakonde (Zambia Tanzania boarder town) rice na ndio premium rice huko Zambia

Rwanda ndio huwaambii kitu kuhusu mchele wa Tanzania
 
Back
Top Bottom