Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukizoeakuwatch standard football
Utajua ameteur one direct.
Inabore kila sector. Na ndio the best club in afrika!!!
Ndio maana Haina following kabisa afrika.
You see how players refuse playing in KPL

If you are intelligent enough you will understand why.
Screenshot_20230622-092044_Facebook.jpg
 
Madhara ya mawazo ya kijamaa na fikra za kijima na kimaskini ndio haya hapa Sasa
Hii ishu yani itakuwa ngumu sana, hawa jamaa wa telecoms wako very protective! Yani wametengeneza kama ki monopoly flani hivi! Najua wanlobby sana hii ishu isifanikiwe!

Wangekomeshwa tu ! Serikali wamgewapa kina Elon hiyo leseni tu!
 
This hospital haipo Nairobi but uasin gishu county. Just shows the strides zimefanyika kwenye health sector
download%20(20).jpg
 
Sisi nye nye nye tuna GDP kubwa
wanafunzi wapo chini ya miti wakisoma 👇
Lazma muichukie technology manake inawavua chupi zenu hadharini😅
 
Back
Top Bottom