Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya mmeiona extended canopy
Screenshot_20230622-135234.jpg
Screenshot_20230622-135248.jpg
Screenshot_20230622-135257.jpg
 
ufisadi haujawah tokea toka dunia iumbwe kaahh😅😅🙌🙌🙌🙌
Comment zao sasa

😅😅😅😅😅😅

Nauliza tuu kwani Kunyaland hakuna Vyuo Hadi Wamechagua Tanzania?

Kwa hivo wakiamishwa Muhimbili inamaanisha Muhimbili ni bora? Mbona basi hawakuamishwa Cape Town ambayo ni bora Afrika? Mbona hawuamishwa Havard ambayo ni bora duniani kwa sasa? Huwa mna reasoning ya kipuuzi sana nyinyi. University za Kenya sio za kuingia tu kiovyoovyo.
 
Ni kweli Cape town and Havard ni bora kuliko Muhimbili ila uwezo wao ni hapa hapa EA so wamechagua kilicho bora zaidi kwa hapa hapa EA usiwalaumu.
 
Kwa hivo wakiamishwa Muhimbili inamaanisha Muhimbili ni bora? Mbona basi hawakuamishwa Cape Town ambayo ni bora Afrika? Mbona hawuamishwa Havard ambayo ni bora duniani kwa sasa? Huwa mna reasoning ya kipuuzi sana nyinyi. University za Kenya sio za kuingia tu kiovyoovyo.
Wivu 🤪😜
 
Hayo maswali muulize huyo mkuu wa chuo Cha Sudan. Yeye amesema kwamba, Tanzania ni "very stable and peaceful country, and medical education standards is among the highest in Africa". Sasa wewe unataja Harvard, kwani havard ipo Africa?, Punguza kulialia na ukubaliani na ukweli kwamba Medical schools in Tanzania are among the best apart from South Africa and may be Egypt, but those two countries are not as peaceful as Tanzania.
 
Back
Top Bottom