Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mahali dar ilishindwa hii downgrade ndo itaweza🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 2665485
Kwani hawa Wabongo Ushamba au nini!? Hii kitu for real!? Hii!?? Nashindwa kuelewa. Ama ni vile wameweka hizi cosmetic cartons!?

Watanzania, hebu fafanua, nini mnashobokea kwa hii Station. Si kwa wivu lakini bana hata nyie kuweni serious!!!
 
Wakue serious bana🤣🤣🤣🤣
 
Hii hapa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20230622-135234.jpg
Screenshot_20230622-135248.jpg
Screenshot_20230622-135257.jpg
 
Wakue serious bana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hayo mengine mtajua wenyewe, sisi tunawapiga na miradi mipya tofauti tofauti alafu tunaachana nayo tunakuja na mingine, gumzo litabaki kwenu. Juzi state house mkalia weee leo station pia mtalia sana, kesho tunakuja na nyingine, mkija kustuka Tz ni USA ndogo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwani hawa Wabongo Ushamba au nini!? Hii kitu for real!? Hii!?? Nashindwa kuelewa. Ama ni vile wameweka hizi cosmetic cartons!?

Watanzania, hebu fafanua, nini mnashobokea kwa hii Station. Si kwa wivu lakini bana hata nyie kuweni serious!!!
Kama kwenu zingekuwepo station za treni ya umeme kama hizi mngelikuwa na haki ya kutuita washamba, ila kwenu hakuna na hamna ndoto za kuwa nazo, so shut up your dirty mouth.
 
Back
Top Bottom