Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Duh , nilidhani wataiinclude , hapa wamezingua ingefanyika mara moja tu
Waziri wa Ujenzi alisema wanamalizia Mazungumzo na AfDB Ili section iliyosalia ijengwe Kwa pesa za mkopo..

Ikishindikana nadhani inaweza tangazwa Kwa model hiyo kuanzia mwaka wa Fedha ujao maana sio kwamba hizo ndio za mwisho..

Tena hiyo Barabara inasoma Mbalizi-Mkwajuni-Galula-Makongolosi-Rungwa-Ipole/Itigi
 
pamoja na mahitaji mengi yanahitajika Tanzania, napenda sana kuona Tanzania ina viwanja vya mpira vya kisasa. Huwa nawazaga yafuatayo mawil yafanyike

1. siku NSSSF washirikiane na serikali kujenga uwanja wa mpira wa kisasa mkoani Morogoro. Morogoro is a gate route from Dar to Dodoma and other regions (business route). Dar na Dodoma (to be built) tayar kuna viwanja vya kisasa, so wapenda mpira ni rahis kumove btn these three regions for football recreation. Morogoro pia itapita train ya umeme

2. Tanzania National Parks ishirikiane na serikali kujenga Olympic Stadium mkoani Arusha. Si lazima michezo yote ya olympics iwepo lakini iwepo ile itayoweza kuwa occupied ndan ya uwanja mkubwa. Arusha ni mkoa wa kitalii na National Parks inahusika na utalii (nadhan umeelewa lengo nilalotaka kusema, nisiende mbal sana).... pia uwanja huu tutaweza kuutumia kwa mashindano ya olympics kwa East Africa, SADC au Afrika nzima (thou sijui taratibu za michezo ya olympics). Na kwakuwa uwanja huu utakuwa na space ya michezo mingi, bas wachezaji wetu wataweza kuutumia huu uwanja kwa maandaliz ya michezo mikubwa huko Ulaya au USA kama
• tennis,
• sprint,
• track running or combined running,
• kuna ule mchezo wa kuruka kweny mchanga,
• kuna ule mchezo wa kurusha vitu vizito
• kuna ile michezo ya kurusha mishale
• kuna ile michezo ya kuruka juu ya poles kubwa na kudondokea vitandani
• indoor diving or swimming ,
• jumping or horse riding
• na michezo mengine mingi tu pamoja inayohusisha walemavu

tanzania hatuna viwanja vingi vya michezo hivyo huu wa olympics (i wish ujengwe) utakuwa kama sport center ya michezo yote in one place.

NI MAWAZO TU 🤣
View attachment 1023212

Kuna kitu nimewaza kuhusiana na utalii au kutokana na haya mapato ya utalii. Mniruhusu kushare na nyie.

Ni kwamba kwanin Rais au Bodi ya utalii isitoe hela kidogo ya haya mapato ya utalii kujengea uwanja wa kisasa wa mpira kule Arusha?, na uwanja utakuwa chini yao...na katika uwanja huu wataweka matangazo yao ya utalii wanavyotaka, na zile mechi za kimataifa au kikanda mfano kama hizi za Champions League ziwe zinaelekezwa huko Arusha. Kwenda kucheza huko kitawafanya baadh ya wachezaj au makocha wa timu za nje kuenjoy mandhari ya utalii na hata kuweza kuongeza siku za kukaa ili wandelee kutalii kidogo nchini kweny mbuga zetu... Hayo tu!
Ishu ya kiwanja Arusha linaenda kutimia. Regardless of capacity, mwanzo ni mzuri.


Nadhan wachina watatoa hela na kujenga hiv viwanja
 
Ni sawa na umtoe mtu anayeishi na kufanya shughuli zake kibera ghafla aje mbezi beach Sijui atacoment vipi juu ya Dar na Nairobi
Why y’all obsessed with Kibera ?… you really love Kibera… it helps you project Uswaziland in your psyche..we know 🤣😂🤣
 
Mtu aliyeishi Kibera kwa miaka mingi ameitembea Nairobi na anaielewa. Ukimpeleka Mbezi bado atakuambia Mbezi haifikii Kilimani, kileleshwa, Lavington, Langata, Springvalley n.k.
Sio kweli labda awe ni Moja ya zombies of Nairobi
 
Na nyie mlivyojazana huku tz kufundisha pre-primary (kindergarten) schools na kuhemea chakula tusema Tz ndio dunia yenu? We punda endelea kukaa kibera hapo wenzako wamejazana huku Bongo na wana-enjoy maisha ya huku hawataki kurudi huko jehanamu yenu ya Kibera and the likes.
dah! Ila sisi dah!
 
Dunia yenu ni Kenya, huko majuu hamuko kabisa kuna mmoja anaitwa ichoboy01, alisema Mahali hajafika Kenya ni lamu na turkana.
Katika Africa Tz ndiyo source kubwa ya remittance kwa Wakenya nenda uangalie Watz wanapata remittance kiasi gani kutoka kwenu zen utajua nchi ipi inamtegemea zaidi mwenzie. Hii inatoa picha kwamba over 90% ya Wakenya wote wangependa kuwa Watz lkn hakuna mtz anayependa kuwa mkenya.
 
Kwa Kenya hizi ndo major project?
Pay attention to the issue, don’t get distracted by shiny objects … we are talking of remote rural places…. Show me a single major economic project in Mara, simiyu, Njombe or Rukwa…. Be bold…and remember these are regions not counties like ours …
 
Back
Top Bottom