Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe ni ngombe Sana, nani ametaja remittance ama ndo njia yako ya kutorokea. GDP estimates ni pesa intangible ambazo huwezi kuzitumia kulipia Deni.

Sasa wee jinga ukisema eti "ukiondoa madeni kwa GDP ya Kenya unabaki na 30bn$". Recession ndo inaweza punguza GDP ya nchi sio kulipa Deni.

Madeni yanalipwa na kodi, kodi haina uhusiano na GDP, zipo nchi nyingi zenye GDP kubwa lakini ukiangalia ushuru wanaokusanya na bajeti zao haziendani mfano Nigeria.

Unajiabisha ficha ujinga
Hahaha, ngoja nikufunze uchumi. Taxes hukusanywa kutoka sehemu ya GDP ya nchi husika. 24% ya GDP ndicho kiwango kizuri kwa nchi yenye mfumo mzuri wa ukusanyaji Kodi, nchi nyingi za Africa bado hazijafikia hicho kiwango Cha ukusanyaji.

Kenya kwa mfano, hukusanya kati ya 16 -18% ya GDP Kama Kodi. Nchi yenye GDP kubwa hukusanya pesa nyingi kwasababu pesa inayopatikana kutokana na kodi pia Huwa kubwa.

Sasa wewe sema, taxi inayotozwa na KRA hutoka wapi Kama sio kwenye uzalishaji wa bidhaa na huduma ndani ya Kenya?. Unadhani Kodi hutoka mbinguni?.

Utajidhalilisha, hujui kitu.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Dunia yenu ni Kenya, huko majuu hamuko kabisa🤣🤣🤣 kuna mmoja anaitwa ichoboy01, alisema Mahali hajafika Kenya ni lamu na turkana.
Na nyie mlivyojazana huku tz kufundisha pre-primary (kindergarten) schools na kuhemea chakula tusema Tz ndio dunia yenu? We punda endelea kukaa kibera hapo wenzako wamejazana huku Bongo na wana-enjoy maisha ya huku hawataki kurudi huko jehanamu yenu ya Kibera and the likes.
 
Hahaha, ngoja nikufunze uchumi. Taxes hukusanywa kutoka sehemu ya GDP ya nchi husika. 24% ya GDP ndicho kiwango kizuri kwa nchi yenye mfumo mzuri wa ukusanyaji Kodi, nchi nyingi za Africa bado hazijafikia hicho kiwango Cha ukusanyaji.

Kenya kwa mfano, hukusanya kati ya 16 -18% ya GDP Kama Kodi. Nchi yenye GDP kubwa hukusanya pesa nyingi kwasababu pesa inayopatikana kutokana na kodi pia Huwa kubwa.

Sasa wewe sema, taxi inayotozwa na KRA hutoka wapi Kama sio kwenye uzalishaji wa bidhaa na huduma ndani ya Kenya?. Unadhani Kodi hutoka mbinguni?.

Utajidhalilisha, hujui kitu.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

Naona unaniuliza swali la kijinga alafu unajijibu mwenyewe. Turudi kwa hii kauli yako "ukitoa madeni uchumi wa Kenya unabaki $30bn"
Arm chair expert wa uchumi kutoka tandale, kivipi unaweza kupunguza GDP ya kenya ukitumia madeni. Wakati zipo nchi nyingi ambazo zime- default madeni yake na GDP yao iko pale pale mfano Ghana!?
GDP sio net worth ambayo lazima uondoe liabilities Kama madeni

Ficha ujinga
 
Kama utajiri wako $1B, na Bank unadaiwa $1B, japo unalipa kidogokidogo, vitabu vyako vya hesabu vitaonyesha $0.

Kukataa kulipa deni Kama zilivyofanya nchi zingine, sio sehemu ya kulipa deni au kuongeza utajiri wa nchi, ni sawa na kukimbia na deni la mtu.

Sikiliza kwa makini upate SoMo

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kama utajiri wako $1B, na Bank unadaiwa $1B, japo unalipa kidogokidogo, vitabu vyako vya hesabu vitaonyesha $0.

Kukataa kulipa deni Kama zilivyofanya nchi zingine, sio sehemu ya kulipa deni au kuongeza utajiri wa nchi, ni sawa na kukimbia na deni la mtu.

Sikiliza kwa makini upate SoMo

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

huyu demu mbona anamuangalia Wanjigi aking'ata lips?
 
Kama utajiri wako $1B, na Bank unadaiwa $1B, japo unalipa kidogokidogo, vitabu vyako vya hesabu vitaonyesha $0.

Kukataa kulipa deni Kama zilivyofanya nchi zingine, sio sehemu ya kulipa deni au kuongeza utajiri wa nchi, ni sawa na kukimbia na deni la mtu.

Sikiliza kwa makini upate SoMo

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

Joto la jiwe, GDP sio networth.

Elimika usiwe mjinga.
 
IMG_7563.jpg

Hongera Mama Samia kilometa 2035 za lami zinaenda kujengwa kwa mpigo.
 
Back
Top Bottom