Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilijua wewe ni ngombe wakati ulisema GDP ndo inalipia madeni
Huna akili wewe, unadhani madeni hulipwa na "remittances?". Hivi ninyi wakenya Huwa mnasoma kweli?.

KRA hupata wapi "revenue" Kama sio kulipisha kodi?, Kodi zinatozwa kwenye nini Kama sio kutoka kwenye "production of goods and services?. What is GDP?

GDP = the total value of goods and services.

The higher the GDP, the higher the taxe collection, the higher the ability to pay debts.

Unapaswa unilipe kwa kukupe elimu. Ninyi vichwa vyenu Bure kabisa, njaa inasababisha kuwa na uwezo mdogo wa kuelewa mambo.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Nairobi with Kilimanjaro on the background.
 
Attachments

  • nrb.jpeg
    nrb.jpeg
    131.5 KB · Views: 12
Huna akili wewe, unadhani madeni hulipwa na "remittances?". Hivi ninyi wakenya Huwa mnasoma kweli?.

KRA hupata wapi "revenue" Kama sio kulipisha kodi?, Kodi zinatozwa kwenye nini Kama sio kutoka kwenye "production of goods and services?. What is GDP?

GDP = the total value of goods and services.

The higher the GDP, the higher the taxe collection, the higher the ability to pay debts.

Unapaswa unilipe kwa kukupe elimu. Ninyi vichwa vyenu Bure kabisa, njaa inasababisha kuwa na uwezo mdogo wa kuelewa mambo.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wewe ni ngombe Sana, nani ametaja remittance ama ndo njia yako ya kutorokea. GDP estimates ni pesa intangible ambazo huwezi kuzitumia kulipia Deni.

Sasa wee jinga ukisema eti "ukiondoa madeni kwa GDP ya Kenya unabaki na 30bn$". Recession ndo inaweza punguza GDP ya nchi sio kulipa Deni.

Madeni yanalipwa na kodi, kodi haina uhusiano na GDP, zipo nchi nyingi zenye GDP kubwa lakini ukiangalia ushuru wanaokusanya na bajeti zao haziendani mfano Nigeria.

Unajiabisha ficha ujinga
 
Back
Top Bottom