Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Duu viongozi wenu walikuwa wanajenga dual road na flyover Hadi vijijini bila sababu ili waoverprice na wapige hela ndo maana mnadeni yasiyolipika na hamjui pesa imekwenda wapi
Hamna flyover yoyote kijijini ambayo haikufanyiwa due diligence. Flyover zote zimejengwa sababu that particular area iliziitaji. Kwa mfano, hili eneo liliripoti accidents nyingi sana juu ya poor visibility splays, tangu hii interchange ijengwe, accident zimepunguka.

E23V4i2XMAQON4J
 
Tusijenge kwa sababu nyie mmejenga bila mipango
Huwa unajiita engineer ila naona huna engineering mind kabisa. Hiyo barabara imefanyiwa vehicle count kubaini kama inahitaji kuwa dualed ama mnadual tu kisa mmesikia barabara za Kenya zinakuwa dualed?
 
Ni sawa na umtoe mtu anayeishi na kufanya shughuli zake kibera ghafla aje mbezi beach Sijui atacoment vipi juu ya Dar na Nairobi
Mtu aliyeishi Kibera kwa miaka mingi ameitembea Nairobi na anaielewa. Ukimpeleka Mbezi bado atakuambia Mbezi haifikii Kilimani, kileleshwa, Lavington, Langata, Springvalley n.k.
 
Ukiwaambia wanabisha yet kila anayetembelea nchi hizi mbili anakiri Kenya ni better.
Better in what?
1)Security
2)Jobs availabity
3)Low cost of living
4)peace and unity
5)Affordable health care
6) Affordable accomodations
8)Water availability
9) Affordable and reliable means of transport.

Hivi katika haya yote, Kenya wapi inaizidi Tanzania?, wacheni kujiliwaza na kusikiliza maneno ya wageni.

Hao wageni vitu wanavyotaka kuviona sio muhimu kwa maisha ya hapa Afrika. Kwao wanataka kuona vyakula na supermarkets Kama za huko kwao, Skyscrapers, cold weather na ofisi nyingi za Makampuni ya kimataifa.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom